Mkasa uliowahi kumpata "PENDO"

Mkasa uliowahi kumpata "PENDO"

Mmiliki wa hiyo bar alisha fariki kitambo pendo pia amesha zeeka ndio katoa juzi
 
Pendo alikua mhudum wa baa katka maeneo flani ambapo alifanya iyo kazi akiwa kama kaunta, katka baa ile ilikua ni mwisho saa6usku ndio wanafunga

Siku1 walipata wateja ambao ilipelekea wakafunga muda umeenda sana wahudumu wenzie walienda kulala Pendo alibaki pekee yake na wateja ambao alikua anawahudumia yeye ilifika kama mda wa saa7:30 ivi wale walevi wakaondoka nayeye akaingia ndani wakat huo walikua wakilala palepale baani kulikua na vyumba vyao wahudumu wote

Pendo alilala kama nusu saa akabanwa kukojoa akaamka alivyofungua mlango alishituka kuona watu kama kumi ivi katikati ya uwanja wa baa wamevalia mavazi meusi huku wakiongea kwa kunong'onezana aliogopa akafunga mlango polepole akalala huku roho ikimdunda baada ya mda ka dakika15 mlango uligongwa akiitwa "pendo"pendo"aliijua ni sauti ya bosi wake mmiliki wa baa akamwambia atoke nje,


Alivotoka akafatwa na watu watatu pamoja na bosi wake akiwa hapo wakamuuliza:

Tumekuona ukifungua mlango baadae ukafunga uliona nini?

Pendo: Sikuona kitu

Pendo aliwekewa bastora kuanzia kichwani mpaka miguuni kisha akapewa onyo kua wakisikia amevujisha alichokiona watamuua pia ata bosi wake alimwambia afanye kazi asiyaongee maswala yasiyo mhusu alienda kulala ila mazungumzo waliokua wakizungumza ni yakihalifu walikua wanaenda kuvamia sehem

Hivyo pendo amejikuta akifanyakazi katika ile baa hadi umli umeenda sana akihofia kuacha kazi atauliwa.
kero ya kutofikishwa kileleni
 
Duh kali hiyo si niliifuata Link hiyo ya kutofikishwa kileleni mara paa Internet inakata
kumbe ni kwa sisi wasomaji
 
sasa sawa mkuu kumbe link ya awali ilikosa neno hii ndio maana ikagoma
kero ya kutofikishwa kileleni
 
Sasa kama mmiliki alifariki, kwa nini hakuacha kazi kipindi hicho???!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom