Mkasa ulionikuta wikiendi hii

Mi nayatafakari maneno waliyokuwa wanayaongea hao mademu wakati wanakuja na wakati walipoondoka,na inawezekana hata wakati umekaa nao walikuwa wanakonyezana, unajua walikuwa wanakuongeleaje ..........???
Ni kweli walijipanga na mchizi demu hakumzimikia wala nini
 
Yawezekana hata bado unapangisha/ mpangaji huku unalipia uzinzi 40,000 karibu cement tatu kama upo dar. Chakula na nauli 110,000, labda mwanao anasoma st kayumba.
Duuh Magufuli anakazi kwelikweli
 
Si ajabu aliondoka nyumbani kwa kiburi sana, akiulizwa unakwenda wapi maana ameoga na lynx deodorant juu, anajibu unaniliza kwa nini? Amerudi mdogo kuliko piriton.
Hahahaa muwe mnawakomesha
 
Hahahaaaa....huyu jamaa ni miongoni mwa wale wanaoamini pesa ni kila kitu, yeye akawa anamwaga tu pesa, alikutana na mjanja
Na aliwezwa kwel kwa maana watu wamekula then wamesepa..... kabakizwa na viagra yake mwilin
 
Hiyo ya kukasirika mpaka masikio yanakuwa ya moto nimecheka sana lol! Kidume ukaamua kufa na tai shingoni 150K imeenda na maji lol! Hahahahaha. Siku nyingine sepa Mkuu badala ya kuendelea kutoboa mfuko wako.
 
Daaah, hao madsmu wa uswazi mnawatoa wapi?? Au ndio vile ndege wanaofanana huruka pamoja??
 
Tatizo mnajifanyaga mnazo ndo maana mnapigwa pesa zenu ww mwanamke wa kumtangazia una pesa kwann asitumie kila njia ili apukutishe hizo hela zako, hapo unakuta mkeo alikuomba hela ukasema huna ndo laana zenyeww hizo
Hahahaaaa kama akili sasa amepata
 
Dah....ndiyo ukome...siku nyingine ukimwita dem mwambie kabisa unataka kumgonga ili ajue na ajiandae [emoji4]
 
Waliooa wanahangaika....yaani mimi huyo ningemuita geto kiulaiiini kama kukata siagi na kisu cha moto!

Lilivyo boya zaidi na hela ya tax kurudi limelipa
 
My Jesus HV hadi miaka hii bado kuna wanaume wa hivi??????laaana
 
Kuna mmoja Siku yenyewe tumekubaliana nimchukue twende kwenye kiti moto, ile nakaribia kwenda kumchukua ananiambia kama hutajali ukija kunichukua nipo na rafiki yangu, nikamwambia OK tutacheki.

Baada ya nusu SAA nikamwambja Gari imezingua taa zote haziwaki ngoja nitafte fundi atekebishe.

Amini amini nakuambia, hadi kesho hajawahi kuona call yangu ingawa ye hunipigia Mara kwa Mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…