Polisi wetu na uzembe wetu!
Polisi anapofika hasa mda usio wa kazi na hana uniform ni lazima ajitambulishe na atoe ID ndipo afanye kaZi yake. Hapo kwa vile wengine tuna uoga basi nao wanachukulia huo upenyo na kutubabaisha. Ungemuuliza hizo detail, ndipo afanye yake.
Polisi wanatumia sana ujinga wetu kutunyanyasa 'vile tu ana cheo cha upolisi' wakati ni kazi ka kaZi zingine tu. Pole sana, pia ukute hiyo pisto ilikuwa toy tu, kwa sbabu polisi hawezi fanya huo upuuzi wa kuload ammo kwa ajili ya leseni. Next time jua haki zako kabla ya arrest
Next time usiwe unavimbia bunduki na kijisifu "eti"ukamkomalia ni ujinga,sasa hivi ungekuwa marehemu kwa kiburi cha kumwona demu wako pembeni
Swala la bunduki kuwa toi au ya ukweli unatakiwa kujuwa baada ya kutii amri ya mwenye moto!!!!
Kama majambazi wangekuwa wanajua hivyo wasingekuwa wanavamia watu.
Wewe saa mbili kwa sehemu za dar ni hatari, tena kwenye sehemu za starehe? wewe utakubali vipi mwanaume mwenzako anakuwekea bastola kichwani?
Mod post kama hivi za zakutunga na kuchafua jeshi letu.It's the usual complaint system does good, system is abused.
Mkuu huyu jamaa nafikiri ni mmoja wao. Ni mara nyingi post zinazoonesha uovu wa jeshi letu la polisi huwa anazipinga tena kwa jazba na hata kutumia lugha chafu hapa.Nna mashaka na upeo wako...nani atunge hiyo..? Na nani asiyejua cocobeach mambo hayo yapo...kama wewe ni askari basi usitetee uovu wa baadhi ya askari wabaya..binadamu wote si sawa...kwa iyo hata kwenye polisi wapo wabaya ...fact is fact...mi napajua pale cocobeach hata kwenda siendi hata unilipe...wizi mtupu pale na kutishana maisha ...
Umeongea point sana.huyu jamaa kachungulia kaburi alafu anajisifia kidume.yaaan next time ukirudia umeondoka baba.Hugo demu atalia tu siku mbili atasahau na kuendelea na bwana mwingine.wacha ujeuri Wa kinjekitile ngwale.unapga konzi ncha y mkuki!!
wewe mgeni hapa mjini?? saa mbili?? hata manzese au uwanja wa fisi sina haja ya kubeba bastola....
for sure wangu. yaani hapo kamdindia huyo mchzi kamkuta wangekuwa wale wazee wa kutaka hela zao wangemfanya kama yule sister wa kikatoliki
Mkuu kwa nia njema tu, naomba uni-pm namba yako, halafu mimi nitakutumia picha ya leseni zangu zote mbili kupitia whatsapp ili uamini
Uache kufanya ngono kwenye gari...nisamehe kama nimetafsiri vibaya hii story yako..siku nyingine wale vijana wa Shigongo watawapiga picha itakuwa aibu!
Nna mashaka na upeo wako...nani atunge hiyo..? Na nani asiyejua cocobeach mambo hayo yapo...kama wewe ni askari basi usitetee uovu wa baadhi ya askari wabaya..binadamu wote si sawa...kwa iyo hata kwenye polisi wapo wabaya ...fact is fact...mi napajua pale cocobeach hata kwenda siendi hata unilipe...wizi mtupu pale na kutishana maisha ...
Pamoja na ujasiri siku nyingine kuwa makini!!!!Hata wazo la upuuzi huo sikuwa nalo, kwa nini ukafanye ujinga kama huo coco? Utakua unatafuta matatizo mkuu, mimi nilienda kupunga upepo, na kama ni kweli angenifuma nafanya ngono sidhani kama angeniruhusu niondoke kirahisi.