Mkasa: Sitasahau yaliyonikuta siku moja baada ya usiku wa December 25

Wakipekee

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
5,355
9,222
Episode 01


Ulikua usiku mzuri ambapo kulikua na mawingu angani yaliyochangia kuleta ubaridi. Nilivaa sweta swetu zito lililonikinga na baridi ile, tayari ilikua saa tatu na dakika kumi siku ya tarehe 24/12 tulipoingia kanisani kukesha kabla ya kuipokea siku ya Xmas. Watu walikua bize kusherehekea mkesha wa sikukuu hiyo kubwa ya mwisho mwaka. Kwa wakiristo ilikua siku muhimu sana. Wengi walikua makanisa wakifanya ibada na kuimba nyimbo mbalimbali za kusifu na kuabudu.

Binafsi sikuwahi kusali kwa walokole ila kutokana na ushawishi wa rafiki yangu aitwae Juvi ambaye tulikua tumepanga nyumba moja nilijikuta nami nimeenda kujionea mambo yanavokuaga.

Kiukweli nilipitia wakati mgumu sana maana sikua na utaalamu wowote wa kuomba na kunena Kwa lugha kama wenzangu walivofanya, walau wakati wa kupiga mapambio nilikua naungana na waumini wengine maana zile nyimbo nilikua na idea nazo, inshu ilikua kwenye kucheza lakini ilinibidi nikomae tu kibishi.

Muda ni kama ulikua umeganda nilitamani kurudi home lakini nilishindwa ikabidi tu nijikaze. "Ningejua nisingekuja" nilijalumu moyoni mwangu, nilikua nimechoka Sana na nilitamani kurudi home kulala, lakini nikasema kama nimevumilia hapo awali muda wa kama masaa mawili nashindwa vipi muda kidogo ulibakia kufika tamati ya mkesha. Mara nikiwa katikati ya lindi la mawazo sauti za shangwe zikasika "amezaliwaaaa.... kazaliwaaaa..." Watu walishangilia kwa nguvu sana. Tayari ilikua imeshafika saa sita kamili usiku, kumaanisha kua tayari siku ilishabadirika kua tarehe 25/12 siku aliyozaliwa Yesu ambapo sikukuu ya Xmas hufanyika.

Walau sasa niliweza kutabasamu maana nilikua na uhakika wa kurudi ghetto kulala, kiukweli nilikua nimechoka sana. Nilimfuata Juvi ambaye ndiye tuliyekua tumekuja nae kwenye ule mkesha. Tulianza safari ya kurudi nyumbani. Njiani tulikutana na watu wengi tu maana wengine pia walikua wakirudi kutoka kwenye makanisa wanayosali. Tukiwa tunakaribia nyumbani tulikutana na mabinti wawili nao walikua wakirejea nyumbani. Tulisalimiana na kupiga stori mbili tatu ili kufupisha safari Katika maaongeza nilitokea kumkosha binti mmoja Kati ya wale wawili kibaharia nikafanikiwa kupewa namba yake ya simu.

Niliporudi ghetto nilimpigia simu na tulipiga sana stori kama vile tunafahamiana Kwa siku nyingi nikafanikiwa kumshawishi kesho aje gheto Nile tunda kimasikhara akakubali basi nikazima simu na kulala.







images (4).jpg
 
Episode 02.

Kesho yake ilikua ni tarehe 25/12 yaani siku ya sikukuu ya Christmas. Kama kawaida yetu waafrika hasa waumini wa dini ya kikiristo ni siku ya kupika mapochopocho Kwa wingi. kwakua Mimi na rafiki yangu Juvi tulikua tunaishi kigheto gheto ilibidi tuchange hela Kwa mama mmoja aliyekua akiishi kama single mother ili atukipikie. Naye wala hakujivunga alipika tukala.

Muda wa mchana nikamcheki Yule demu alinipa namba Jana usiku tayari tulikua tunaitana majina ya kimahaba kama vile baby,honey na mengineyo ili mradi tu tupate raha!. lakini yeye jina lake lilianza na N, basi tumuite Miss N. Tuliongea mengi Sana na nikamwambia jinsi nilivokua na hamu naye kwakua hua na utaalamu wa hali juu kushawishi nilimsikia akihema Kwa shida huku akilalamika kua nisiendelee tena kumuelezea mambo ya mahaba Kwani tayali alikua amepandwa na wazimu.. Tulikubaliana atakuja Mida ya saa 11 jioni ili tupeane mautamu nikakata simu. Baada ya kukata simu meseji iliingia kwenye simu yangu. "Wakipekee mpenzi wangu, mimi Nimelowa".. nikaishia kucheka huku moyoni nikiwaza style Kali za kunyanduana.
"hapa akija ni doggy style, cow girl au face-off" nikabaki najutia muda kwenda polepole. Ili kukimbiza masaa nikaingia kulala, Maana nilikua na hamu balaa, Hapo ilikua kama saa 9 alasiri.

Nilikuja kushituka Mida ya saa 11 jioni. Nikaangalia simu yangu ilikua na missed calls 6 zote za miss N, nikabonyeza kitufe cha kupiga simu, ikiita kisha ikakatwa nilipiga tena ikawa haipatikani. Nikapiga zaidi ya mara tano chafu... Dalili za nyoka kulamba unga nikaona kama hazipo ooopsssiiiii...!!! Kula tunda kimasikhara kukaota mbawa..
Nilihuzunika Sana hasa nikiwaza kile kifua cha Miss N kilivokua kimetuma Kwa kubeba ziwa konzi chuchu saa sita... Dah.! Nikahisi kama dunia hainitendei haki.. Nikawa napiga simu kila baada ya muda flani lakini hola..
Masaa yakasogea ikafika saa mbili nikakiri moyoni mwangu kweli nilikua na Gundu.!!
images (6).jpg
 
Episode 03.
Juvi alikuja gheto kwangu na kunikuta na huzuni Sana. "Vipi mwana umeambulia manyoya??!" jamaa alinipiga kijembe kuhusu kumkosa Miss N. lakini alikua amepatia nilizuga kutabasamu lakini moyoni nilikua na maumivu na wivu wa mapenzi yaani nilijuta kumjua miss N. Lakini nilijiona Mjinga Sana yaani mtu nimejuana naye Jana tu leo namuonea wivu? nikakiri kweli mapenzi kizunguzungu...

Ilibidi Mimi na Juvi twende club kupoteza muda, tulipiga sana tungi hadi pale tulipotosheka. Tayari muda ulikua umesonga Sana ingawa ndo Kwanza ungezani ni saa tatu usiku kumbe ilikua saa 9 ilibidi tusepe tukarudi ghetto kulala. Kila mtu aliingia kwake na kulala. Asubuhi niliamka nimechoka sana, niliwaza siku ya Jana ilivopita nikamkumbuka miss N nikampigia simu akakata. Wakati natafakari huyu demu nimekosea nini mara simu ikaanza kuita kucheki namba ni Miss N, nikapokea.

Miss N alinieleza Kua siku ya Jana familia Yao walienda kusherehekea sikukuu pamoja Kwa shangazi Yao hivo alikosa namna ya kuja aliniomba msamaha nami sikuona haja ya kumkazia binti mrembo vile. Baada ya maongezi akaniahidi kua atakuja ghetto jioni kunipa tunda la roho..

Kweli masaa yakasogea hatimaye muda ukafika, mtoto akaja akazama ndani basi maromansi ya hapa pale... tukavua nguo na kua "kinwe" yaani kama tulivozaliwa nikabidi nipake mate mkuyenge ili nizamishe dudu kwenye pango, Ebana mara ghafla hivi salaleeee! sikuamini kilichotokea.

Miss N alikakamaa sana huku akiuma meno kwa nilizani ni raha za mahaba ndo zimemzidia.. kumbe nilikua sijui kinachoendelea na nilikua nimechelewa sana. Mara ghafla Miss N alitulia tuli kama mtu aliyekufa.. nilishtuka Sana nikaanza kumuita lakini wapi hakuitika katu. Nilikuarupuka na kuvaa nguo zangu.

Miss N alikua Kalala pale kitandani akiwa uchi. Ingawa matiti yake saa sita yalikua yanavutia kama almasi angani lakini niliona kama yananidhihaki... huu msala. Nilimsogolea na kuweka sikio kwenye titi lake la kushoto ila sikuhisi kama anapumua "nimeyakanyaga" niliwaza na kuweka mikono kichwani.. nilimfunika shuka na kuwaza kutafakari nini cha kufanya. Niliukumbuka wimbo wa Hussein Machozi kafia ghetto.. Nilihisi kama kautunga Kwa ajili yangu Ebwana "sa ntafanyaje" sikupata jibu, Nilianza kuhis harufu ya kwenda jela miaka 30, "Oh Mungu wangu kweli ndo ntapotelea gerezani kizembe hivi.. no I must do something" niliapa sitaenda jela ntafanya tu Jambo kuepuka balaa..
Nilimsogelea tena Miss N na kumsikilizia sikuona dalili ya uhai Moyo ukapiga paa.. Ile bado naranda randa mara nikasikia mtu anagonga mlango Kwa nguvu.. Nilitulia lakini bado mgongaji aliongeza nguvu. Nikabaki njia panda nifungue au niache. Nilisogea Hadi mlangoni Ile kuchungulia sikuamini nilichokiona. kulikua na watu watatu mlangoni. Juvi, Mwenyekiti wetu wa mtaa na Jamaa mmoja mbavu aliyeonekana kua na jaziba sana . Ebwana Eee.. Nikasizi
Je nitatoboa?
images (7).jpg
 
Jamaa ndio kamaliza siku hizi tuna watu wa hovyo kweli.

Afu kama una copy sehemu copy yote ndio ulete uku sasa hichi kisebusebu cha kuleta kitu ambacho sio kamili sijui mnakitoa wapi.
 
Jamaa ndio kamaliza siku hizi tuna watu wa hovyo kweli.

Afu kama una copy sehemu copy yote ndio ulete uku sasa hichi kisebusebu cha kuleta kitu ambacho sio kamili sijui mnakitoa wapi.
Hahahahha wabongo Bana tuliza jaziba mkuu nashusha vyuma sasahivi tu
 
Episode 04

"Oi mwamba fungua" Nilimsikia Juvi akisema huku akiendelea kugonga mlango. Niliendelea kubishana na nafsi nifungue mlango au niache. Nilimsogelea tena Miss N na kumtikisa alikua katulia tuli.. Harufu ya hatari na woga usio na kifani vilianza kunitesa. "Kijana naomba ufungue mlango" Nilimsikia Mwenyekiti wetu wa mtaa akinisihi Kwa sauti ya upole lakini yenye mamlaka ndani yake.
Nilisogea hadi mlangoni na kushika kitasa cha mlango ili nifungue, lakini kabla sijafungua nikajikakamua na kuhoji kwani nyie ni kina Nani na mnataka nini.

"Fungua kwanza tuna mazungumzo na wewe ya kawaida tu" Mwenyekiti alisema,lakini mtu mwingine alimkatiza "we mwenyekiti mbona mnamlea huyu boya?!. yaani mtu tumemfuma yupo na mke wangu ndani halafu unambembeleza, huu ni ugoni bwana au nipige woye afumaniwe kwa aibu" Yule jamaa mbavu aling'aka Kwa hasira.

"Mtumee! Kumbe Miss N ni mke wa mtu, mke wa huyu jamaa mbavu? Nimekwisha" niliwaza. Nilikumbuka zile stori za kupakwa mafuta au kupigwa mapanga nikajuta kumjua Miss N. Nilitamani kumuuliza Miss N kwanini hakunambia mapema kua kua yeye ni mke wa mtu, lakini ndo vile tena alikua kalala kama mfu kwani hata kidole chake tu hakikutikisika.

"Nakupa nafasi ya mwisho, tafadhali fungua mlango Kwa hiyari yako kabla hatukujazia nzi hapa na kukudhalilisha" lile jamaa mbavu lilinionya..

Sijui nilipagawa na nini nikajikuta nimefungua mlango. Makosa!. nilikutana na ngumi nzito iliyonipekeka chini kama gunia la mkaa puh!. Juvi na Mwenyekiti walimuwahi yule jamaa mbavu aliyenipiga konde zito.. nikisema konde zito naamanisha lile unalobana tako kabla hujaliachia Kwa nguvu zako zote.

Aisee nilitema damu.. "mwacheni nimuue huyu bwege yaani huyu dogo ananito*bea mke! anajua uchungu wa mke huyu fala.." Mbavu aliendelea kubweka kwa huku akijaribu kujinasua mikononi mwa wale wanaume waliomshikilia ili aniadhibu lakini walikua wamembana sawasawa. sasa nilikua nimepatikana hasira na uoga vyote Kwa pamoja vilinibana lakini sikua na cha kufanya maana aibu ya kushikwa ugoni na mke wa mtu chumbani kwangu ilikua ni kubwa sana.

Kutokana na kelele za yule jamaa mbavu watu walianza kuongezeka pale kwenye tukio si kina mama, watoto na wanaume wote walijaa kushuhudia tukio lile la aibu.

Wazee wenye busara waliingilia kati na wakaamua tukio likaamuliwe kwenye ofisi ya mtaa na kama itashindikana basi nipelekwe polisi kisha mahakamani ili kama ni adhabu nikapewe huko. Basi bwana palepale nilifungwa kamba mikononi kisha zoezi la kwenda ofisi ya mtaa likaanza sikutaka kuleta ubishi wowote maana nilijua utakula kwangu.

Tulifika ofisini Mimi Mwenyekiti, Juvi na watu wengine wawili ambao niliambiwa kua ni wajumbe. Lakini cha ajabu sikumuona Yule jamaa mbavu. Tulikaa pale kama dakika kumi wale wajumbe wakiwa wanabishana, akili yangu ilikua mbali sana sikujua hata walikua wanaongea nini. Baada kama ya dakika kumi zingine akaja Yule jamaa mbavu akiwa na Wanawake wawili watu wazima pamoja na dada mmoja mrembo aliyekua akilia sana, ingawa alikua ejitanda kanga lakini sikupata tabu kumjua kua alikua ni miss N. Kikaduwaa imekuaje tena? Mbona kazinduka ghafla au nilichezewa mchezo au...
images (8).jpg
 
Episode 05

Baada ya wale watu kuwasili basi pakatokea purukushani purukushani za hapa na pale. Bahati nzuri mambo yalitulizwa na kikao cha kutafuta suluhu ya lile Jambo kilianza. Kwanza ilibidi yule jamaa mbavu alielezea tukio lilivokua.

Mbavu Anasimulia

Huyu ni Emmy, ni mke wangu wa ndoa. Alisema huku akimsonta kwa kidole Miss N. Tuna miaka miwili tangu tuoane. Na tayari tumebarikiwa kupata mtoto mmoja ambaye bado ni mdogo ana umri wa miezi miatano tu kwa sasa.
Loh! Nilishtuka sana. Nilimtazama Miss N, lakini yeye alikua kainamisha uso huku akiendelea kulia.

Yule mbavu aliendelea kusimulia, kutokana na kua na wivu wa mapenzi juu mke wangu basi ilinibidi "nimtengeneze" mke wangu ili akifanya mapenzi na mwanamme mwingine basi palepale akakamae na kupoteza fahamu pia nilipewa dawa mke wangu akiwa anataka kuchepuka hua mkono wangu wa kushoko unauma sana.

Sasa leo mke wangu aliniachia mtoto akaaga anafata maji bombani ambapo ndo anakaa huyu jamaa. Akasema huku akininyoshea kidole. Ndipo mkono wangu wa kushoto ulipoanza kunibana kama nilielezwa na mtaalamu. Nilianza kumfatilia kimyakimya mke wangu bila yeye kujua. Na kweli nilishangaa kumuona akiingia chumba cha mtu nilipouliza kwa majirani kua ni chumba cha nani, ndipo nikajua kua anaishi kijana humo ambaye bado hajaoa, basi nikajua tayari naibiwa nikaenda kumfata Mwenyekiti na kumfuma huyu kijana na mke wangu akiwa mtupu kumaanisha kua walikua wakifanya mapenzi. Kwakweli viongozi wangu mimi hili Jambo linaniuma sana maana mke wangu nampa kilakitu iweje anifanyie mambo ya aibu hivi tena bado tuna mtoto mdogo. Jamaa mbavu aliongea Kwa uchungu sana.

Minong'ono ilisikika baada ya maelezo ya yule jamaa mbavu. Basi Mwenyekiti akaingilia kati na kutuliza hali ya hewa. Akasema ili tuamua kesi inabidi tusikilize Kwanza pande zote mbili ndipo maamuzi yafanyike.. Lakini kutokana na maelezo ya yule jamaa mbavu sikuona namna ya kukwepa ule msala, Sasa ikawa ni zamu ya Miss N ambaye sasa nilimtambua jina la Emmy. Mwenyekiti alimpa nafasi na yeye afunguke kwanini alikua ameamua kufanya tukio la kinyama kiasi kile, kwanini achepuke bila aibu akiwa na mtoto mdogo wa miezi mitano tu..

Emmi Anasimulia

Kwakua umeamua kumwaga mboga na mimi ntamwaga ugali. Emmy alisema Kwa hasira iliyochanganyikana na kilio, kumbe wewe mwanaume mshenzi sana yaani bila aibu unaeleza jinsi ulivoniroga sio!?. kumbe John nyie na ukoo wenu wote ni wachawi eeh!?, wanga wakubwa nyie.. Emmi alimwabutukia yule mbavu ambaye sasa nilimtambua kama John..

Acha ujinga Kwa hiyo ndo uchepuke wewe ni malaya tu, najuta kukuoa, kahaba mmoja wewe. John yule jamaa mbavu alimkaripia Emmy. Na wale wanawake waliokuja na John nao walianza kumtukana Emmi ndipo kinagundua wale walikua ndugu zake na John.

Lakini walipo watu wazima hapaharibiki jambo. Mwenyekiti alisihi kila mtu atulie ili tusikilize upande wa pili. Wote wakatii. Emmy akaendelea kufunguka.

Huyu ni mme wangu kweli kama alivosema na tuseme tu Kwanza ni mbakaji maana alinipa ujauzito nikiwa kidato cha tatu na hapo akaniharibia masomo yangu. Lakini alimrubuni bibi yangu na kumpa hela na kuahidi kutoa mahari kubwa ili anioe. Kutokana na hali ngumu ya uchumi bibi alikubali. Mimi sina wazazi nimelelewa na bibi yangu.

Baada ya hapo ndipo tulihamia huku tukaanza maisha. Mi nilikubaliana na hali na tukaendelea na Maisha lakini John ni kijana wa hovyo sana yeye hafikirii Maisha ni mambo ya ngono tu. Kilichoniuma zaidi ni kua John katembea na rafiki zangu wawili wa karibu pia alimshawishi mdogo wangu wa damu kimapenzi lakini hakufanikiwa, hana haya huyu bwana najuta sana kumjua. Na Mimi ilinibidi nilipize kisasi.

Maana hata siku huyu Kaka kanitongoza John alikua kaenda kulala Kwa Janet, rafiki yangu wa karibu niliumia sana. Na ushahidi wote ninao akibisha ntafunguka mengi zaidi.

Sasa Mimi nimeamua moja kama huyu kijana atapigwa faini yoyote ile basi hiyo faini itakua ndo mahari naomba awe amenioa hivo na John aniandikie talaka na hata kama huyu kijana hana hiyo faini ntailipa Mimi halafu John anipe talaka yangu.

Ohoo... Kidonda kulikua kimemwagiwa chumvi, kilianza kuwasha. Emmy alikua kafunguka mambo mazito ambampo ni kaa alikua kapindua meza na sasa John ndo alionekana kua mtu mbaya ingawa ilikua haijafuta kosa alilofanya Emmy Ila walau alionekana alikua na hoja.

John alionekana kama kubabaika hakua tayari kumuacha Emmy kizembe. Mwenyekiti alimtaka John afanye maamuzi anataka nini yeye alitaka mimi nipigwe faini kisha mambo yaishe.. lakini Emmy alishikilia msimamo wake kua kama napigwa faini basi akabali waachane pale pale.. John akabaki njia panda.
Je, John atakubali kuniachia Mali !?.....
images (9).jpg
 
Back
Top Bottom