Ethan Cruz
JF-Expert Member
- Apr 29, 2021
- 231
- 331
Kidogo ni kwi kwiiiii[emoji23]Duuuu hatari sana huyo Shemeji yenu ni kiboko, sipati picha Dada yenu akigundua hilo jambo.
kbs yn jamaa kapita nao wote wawili ssForm 3🥶
Aaa mjuba tatizo nn unatakiwa ubadilishe ladha skumoja moja sio kila siku wataka ule nyama tu au sio lzm uchanganye misosi ukizoea menyu moja daily sio powaAcha kuleta hadithi za kitoto hapa JF. Una-copy na ku-paste vihadithi vya sekondari hapa!
hi kwly powered by youPowered by facebook
Anamwonea wivu mdogo wake tu, hana lolote..!!Ungekataa toka mwanzo..Ushachonga mzinga hapo..kwanza inaonekana unatamani vihela hela unavyopewa na shemeji yako..
😂😂 watu wanachangamkia fulsa jombaa kaona abadili ladha kachoka daily nyama