Mkapa, Vincent na Madaraka: What Else?

Mkapa, Vincent na Madaraka: What Else?

- Kwenye hili CCM hawakuwa makini ingawa sijui the prons, lakini kumpeleka kampeni kama hii Mkapa, siamini kwamba politically ilikuwa a sound idea, ninaamini huku walitakiwa Vijana zaidi infact hata wagombea wenyewe wako in their 20s, labda kuna something sijui lakini kwa maoni yangu it was overreaching on CCM's part!

Es!

haya bwana...!

ngoja tuone mwisho wa haya yote ni nin...!

lakin chama changu kimepata mwenyekiti ambae anaonyesha ana ''kisilani'' cha wazi wazi....!
 
sasa kwa hali kama hiyo tunaweza kusema kweli tuna mwenyekiti wa ''chama chetu tulichokizoea'' mwenye busara kweli?
Kama hujamjua JK vizuri, huu ndio muda wa kumjua.....

Kwa gharama yoyote ile anaweza kufanya jambo analoliona ni sahihi.....
Baada ya kuwamaliza walimu kupitia mkutano wake na sisi wazee wa Dar
Safari hii alitaka kuutumia kwa ajili ya kuwamaliza madaktari
Baada ya kuchanganya karata zake vizuri, akaona ya madaktari tayari kashalamba turufu
Akautumia kummaliza Lowassa....... Media zote zikawa kwa sisi wazee, coverage ya kampeni ya mkwe wa Lowassa ikanyimwa airtime....
Stuka!!

Hahahaha!
 
sasa kwa hali kama hiyo tunaweza kusema kweli tuna mwenyekiti wa ''chama chetu tulichokizoea'' mwenye busara kweli?

Kuna umuhimu vijana kama akina January washike hatamu ya chama ili warudishe misingi ya chama na kupendwa kwa chama kwa kada zote.
 
THE family of the late Mwalimu Julius Kambarage Nyerere intends to summon ex-president Benjamin Mkapa to Butiama Village next month to discuss widespread allegations of corruption and abuse of office now besetting the former head of state.

A member of the Nyerere family, Peter Wanzagi, has confirmed to THISDAY that Mkapa, who holds the position of honorary son of Nyerere's Zanaki tribe, will be called to the family meeting scheduled for next month.


He will be asked to explain the allegations being made against him, Wanzagi said.

The family meeting at Nyerere's birthplace of Butiama in Mara Region, will be chaired by the current Zanaki tribal chief Japhet Wanzagi.

Said Peter Wanzagi, who is also Butiama Village councillor: ''Mkapa is one of us (family), so we have seen fit to call him to the family meeting, where we will discuss these allegations against him.''

He explained that if the corruption allegations against Mkapa are genuine, the family will decide what to do about it, including possibly kicking him out of the family and denouncing his honorary status.

Although not a native of Butiama Village in Mara Region, the ex-president was made an honorary son of the small but influential Zanaki tribe some four years ago.....
 
Kuweka mambo sawa hapo Mkapa alienda kuzima propaganda za vyombo vya habari kwamba ametoa masharti ya kwenda Arumeru mpaka makundi yavunjwe ndo aende ndo maana alienda kujibu na kusema waliosema hivyo ni wajinga.
Twendelee....
Na hapa ndipo alipoingia choo cha kike...manake alikurupuka bila kujiandaa matokeo yake akajikuta anafuka mapovu tu!
 
Kamanda nakufurahia sana tangu nilipojiunga jukwaa hili toka enzi zile za bcstimes baadaye jamboforums, siku hizi niko na jina halisi kama unavyoona hapo juu. Nilipoona vijimambo vya Mkapa dhidi ya familia ya Nyerere nikakumbuka sana kamanda wangu, nikawa najiuliza wapi Mzee wa sauti ya Umeme? Nimemiss sana dataz zako kusema kweli


Naona mleta maada yuko kifasi zaidi... nadhani mkapa ni mwanafamilia kwa maana ya u ccm, lakini si unafamilia wa damau au ukoo.. huyo ni zaidi ya adolf....tla. Angekuwa china huyu mzee nkapa ... mzeee ni mbinafsi sana huyu.
 
Mkapa nae ni familia ya Nyerere? Ni lini Watanzania tutakuwa 'serious' na vitu tunavyosema na kufanya? Au mizaha ndio destiny yetu??

Mimi naona ni sahihi kwa kweli. kwa namna alivyojishadidia kuifahamu Familia ya Nyerere, na kujikweza kwa namna alivyoshiriki kwenye mazishi ya baadhi ya wanafamilia hiyo huku hapo hapo akidai kwamba Vincent sio sehemu ya Familia hiyo Mkapa alikuwa anatuma big message kwamba yeye ni sehemu ya Familia hiyo.

Na ndio maana amekimbilia kutaka Mama Maria awapatinishe na Vicent, nadhani anaendeleza imani kwamba sababu yeye ni mwana familia basi na bora wamalize tofauti zao kifamilia.

Zaidi mi naona kama vile damu ya Nyerere imempanda Mkapa Kichwani. si nasikia ukimuua mtu damu yake ni lazima itakudhuru, kama sio damu ni mzimu au roho, kuna kitu fulani watu wanakisema sana, hata kwenye Movie huwa kinaonyeshwa, mara kama vile kinafanana na marehemu alafu hakiwezi kushikika, mara kipotee. Kama sio mzimu, ni mzuka, au roho au damu. hiki ndio kinamsumbua Mkapa. msishangae akianza kuokota makopo.

Wengine wanasema damu ya Binaadamu ni nzito. Tena mtu mwenyewe awe hana hatia, nasikia ni hatari sana.
 
CCM hawakuwahi kuliona hilo ndiyo maana hata Igunga Mkapa alikwenda na alipiga kambi pale na wakashinda. Sasa naona wakafiki wamepata mtu wa kuwafanyia kampeni wakati wao wanabaki Dar kutanua.............. sasa kawaingia choo cha kike!!! Lakini cha kushangaza, kwa nini 2010 Mkapa hakumpigia kampeni JK mpaka siku ya mwisho pale jangwani alipoenda kumwaga madongo kibao kwa wapinzani?? Au hiyo ndiyo iliyomfanya wamtumie kwenye hizi kampeni za ubunge??
 
hakika ninakililia chama changu ''nilichokizoea''.....!

mwenyekiti wangu ananikwaza
 
- Ninajiuliza swali moja hawa wote ni Familia moja, sasa wanapochafuana huko Arumeru as they have done, linakuja swali moja kubwa je hawa wanafamilia moja wana siri ngapi zingine hawajatuambia wa-Tanzania? Au tusubiri kampeni nyingine ya siasa tuwapange tena tusikie zaidi? Just curious!

- Lakini hawa wana siri nyingi tunahitaji kuzijua Wananchi wa Tanzania!, sasa wapangwe tena another kampeni!, I mean kinachoendelea huko Arumeru ni serious business:

- HOWEVER: hivi kweli CCM haikuwa na mwingine wa kumpeleka Arumeru zaidi ya Mkapa? I mean kweli Viajna wote walioko CCM Why him?


FMEs!
Wote wengine hawafai wana madudu hawauziki labda!
 


He explained that if the corruption allegations against Mkapa are genuine, the family will decide what to do about it, including possibly kicking him out of the family and denouncing his honorary status.

kaka soma hapo underlined..una uhakika gani kwabma hili halijafanyika?
 
alipofariki baba yake na vincent nyerere mzee josephat kiboko nyerere.mkapa ndiye alipeleka pesa ya rambi rambi kwa niaba ya serikali...na aliyemkabidhi ni huyo vincent nyerere anayesema leo hamjui...na ile pesa ilitumika kumalizia kujenga kaburi la marehemu mzee.....

siku hiyo wakati mkapa yuko pale kwa heshima ya familia nae wakasema ni mmoja wa familia ile(kwa heshima)......

alichokifanya mkapa juzi huko arumeru ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu....mpuuzi sana huyu mzee...leo anataka suluhu halafu anataka kumchosha mama maria bure...yeye aende arumeru huko alikoropokea hayo maneno aombe msamaha...
 
- Wakuu ndio tatizo letu wa-Tanzania, mara ngapi wakati wa kumbu kumbu za Mwalimu tumesikia Familia ya Mwalimu wakisema Mkapa ni mwana-familia yao? Magazeti mengi sana yamewahi kusema haya kwamba Mkapa ni familia ya Mwalimu sasa why leo mnashangaa?

- Hebu atokee mwanafamilia ya Mwalimu aseme bila uoga kwamba hawajawahi kusema Mkapa ni member wa familia yao! Tuwakumbushe siku na tarehe na aliyeyasema na wapi, WA-Tanzania sio mabwege tena siku hizi, hawa ni familia moja bana! sasa watumabie what else they know au wanaficha kuhusu Taifa!


Es!

Mkuu embu naomba uniweke sawa,unipe kumbukumbu mbili tu(kwa maana ya miaka miwili tofauti ya kumbukumbu ya mwalimu Nyerere) ambapo ulimnukuu mwana familia wa Nyerere akiyatamka hayo,na utuweke wazi kwa majina yao ni wana family gani waliotamka hivyo!hapo ndipo tutakapojua pa kuanzia mkuu
 
Kama hujamjua JK vizuri, huu ndio muda wa kumjua.....

Kwa gharama yoyote ile anaweza kufanya jambo analoliona ni sahihi.....
Baada ya kuwamaliza walimu kupitia mkutano wake na sisi wazee wa Dar
Safari hii alitaka kuutumia kwa ajili ya kuwamaliza madaktari
Baada ya kuchanganya karata zake vizuri, akaona ya madaktari tayari kashalamba turufu
Akautumia kummaliza Lowassa....... Media zote zikawa kwa sisi wazee, coverage ya kampeni ya mkwe wa Lowassa ikanyimwa airtime....
Stuka!!

Hahahaha!

Hapa kuna kaukweli.Teh teh !
 
Honorary family member, honorary degree, honorary husband --------------------- what 'honorary' else people?????? Honorary nation?
 
Ikiwa makabila yenu hayana mila za kula Yamini ya Undugu basi bora mkae kimya kuliko kuchangia vitu msivyovijua. Watu wa Mara na hasa Wazanaki ukilishwa Yamini na kuingizwa ktk familia Unakuwa mwana ndugu. Na ndio maana Wanzagi alisema Mkapa ataitwa ktk FAMILY MEETING kujibu tuhuma hizo.. Angekuwa sii mwana ndugu asingeitwa wala kuhudhulia kikao chochote cha familia.. Jifunzeni mila na tamaduni zetu, mnapotezwa sana na hizi za kizungu lazima kuoa au kuzaliana ndio undugu.
 
- Ninajiuliza swali moja hawa wote ni Familia moja, sasa wanapochafuana huko Arumeru as they have done, linakuja swali moja kubwa je hawa wanafamilia moja wana siri ngapi zingine hawajatuambia wa-Tanzania? Au tusubiri kampeni nyingine ya siasa tuwapange tena tusikie zaidi? Just curious!

- Lakini hawa wana siri nyingi tunahitaji kuzijua Wananchi wa Tanzania!, sasa wapangwe tena another kampeni!, I mean kinachoendelea huko Arumeru ni serious business:

- HOWEVER: hivi kweli CCM haikuwa na mwingine wa kumpeleka Arumeru zaidi ya Mkapa? I mean kweli Viajna wote walioko CCM Why him?


FMEs!

Familia/Ndugu ni muunganiko wa Kidamu uliopo kati ya watu fulani.Mtoa mada hili swala la mtu kuwa kwenye familia au la,sio la kuwa politicized.It is very obvious,Mkapa ni MMAKONDE Wa mtwara na Nyerere ni MZANAKI Wa Butiama,wapi na wapi? Mkuu siop kila kitu siasa.
 
Huyu chinga huyu ndiyo maana yule andunje anayelisha watu majani ili inunuliwe ndege akamfanyia kweli my wife wake.
 
Tatizo hapa mnachanganya kati ya uzao wa Mwalimu na familia ya mwalimu. Wote tunafahamu kwamba kuwa mwanafamilia si lazima uwe uzao wa baba wa familia. Mtoto wa kuasili (adopted child) anakuwa moja kwa moja mwanafamilia. Na kwa ushahidi uliopo kwenye vyombo vingi vya habari MKapa aliasiliwa na Familia ya Mwalimu (hakuasiliwa na Ukoo wa kina Nyerere) na familia nzima inamchukulia kama ni mtoto wa "nyumbani"

Kwa hiyo MKapa si wa ukoo wa Nyerere lakini ameasiliwa (adopted) na Familia ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Baba wa Taifa la Tanzania. Na kwa ufahamu wangu alichosema yeye ni kwamba Vincent si mtoto wa Mwalimu (Kwa hili yuko sahihi kabisa) lakini hakuna sehemu amesema Vincent si wa ukoo wa Nyerere!!
 
Back
Top Bottom