Mkapa, Vincent na Madaraka: What Else?

Mkapa, Vincent na Madaraka: What Else?

Hivi nyie hapo juu mbona mnafananisha moshi na upepo?
kweli sura kifutu na swira wanafanana kweli?
 
Ikiwa makabila yenu hayana mila za kula Yamini ya Undugu basi bora mkae kimya kuliko kuchangia vitu msivyovijua. Watu wa Mara na hasa Wazanaki ukilishwa Yamini na kuingizwa ktk familia Unakuwa mwana ndugu. Na ndio maana Wanzagi alisema Mkapa ataitwa ktk FAMILY MEETING kujibu tuhuma hizo.. Angekuwa sii mwana ndugu asingeitwa wala kuhudhulia kikao chochote cha familia.. Jifunzeni mila na tamaduni zetu, mnapotezwa sana na hizi za kizungu lazima kuoa au kuzaliana ndio undugu.
mbona umeng'ang'ana sana kuwa mkapa ni mwanafamilia ya nyerere ? Na ninani aliyemutia suluhu km si yeye aliyejipendekeza?
 
Tatizo hapa mnachanganya kati ya uzao wa Mwalimu na familia ya mwalimu. Wote tunafahamu kwamba kuwa mwanafamilia si lazima uwe uzao wa baba wa familia. Mtoto wa kuasili (adopted child) anakuwa moja kwa moja mwanafamilia. Na kwa ushahidi uliopo kwenye vyombo vingi vya habari MKapa aliasiliwa na Familia ya Mwalimu (hakuasiliwa na Ukoo wa kina Nyerere) na familia nzima inamchukulia kama ni mtoto wa "nyumbani"

Kwa hiyo MKapa si wa ukoo wa Nyerere lakini ameasiliwa (adopted) na Familia ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Baba wa Taifa la Tanzania. Na kwa ufahamu wangu alichosema yeye ni kwamba Vincent si mtoto wa Mwalimu (Kwa hili yuko sahihi kabisa) lakini hakuna sehemu amesema Vincent si wa ukoo wa Nyerere!!
Una hakika, alichosema Mkapa ni kwamba Vicent sio mtoto wa mwalimu? Mbona karudia maneno yake akiomba samahani kwa Mama Maria ya kwamba hakujua kwamba Vicent ni mwana familia?..Jamani mbona mnakuwa mawakili wa vitu msivyovojua ili mradi tu kumsafisha mtu.
 
Ikiwa makabila yenu hayana mila za kula Yamini ya Undugu basi bora mkae kimya kuliko kuchangia vitu msivyovijua. Watu wa Mara na hasa Wazanaki ukilishwa Yamini na kuingizwa ktk familia Unakuwa mwana ndugu. Na ndio maana Wanzagi alisema Mkapa ataitwa ktk FAMILY MEETING kujibu tuhuma hizo.. Angekuwa sii mwana ndugu asingeitwa wala kuhudhulia kikao chochote cha familia.. Jifunzeni mila na tamaduni zetu, mnapotezwa sana na hizi za kizungu lazima kuoa au kuzaliana ndio undugu.

Mkuu Mkandara'

Heshima kwako.Hivi chifu wanzagi kasema lini atamwita mkapa,tupe source basi ya habari hiyo ili tuweze kuthibitisha unachokisema.Na huko kula yamini kulifanyika lini na kuna kumbukumbu zozote?
 
Duh mkuu wangu umerukia treni kwa mbele...Haya cheza James Bond chini kwa chini urudi nyuma utalipata jibu..
 
Mkuu hata mimi najiuliza sana inamaana familia ya nyerere (vinsenti) ilikua haijui kuwa mkapa anahusika na kifo cha mpendwa wao hadi kumpa hadhi ya mwanafamilia....je kama familia walitumia vigezo gani kumpa mkapa hadhi hiyo.?hili swala kiukweli linachanganya sana inamaana familia ya mwalimu wamejua lini kuwa nyerere aliuwawa na sio alifariki kwa mapenzi ya mungu.?hapa nina wasiwasi kama vinsenti anauhakika na alichokisema zaidi ya kuhisi na kuunganisha data kama sisi wa mtaani.
 
Tatizo hapa mnachanganya kati ya uzao wa Mwalimu na familia ya mwalimu. Wote tunafahamu kwamba kuwa mwanafamilia si lazima uwe uzao wa baba wa familia. Mtoto wa kuasili (adopted child) anakuwa moja kwa moja mwanafamilia. Na kwa ushahidi uliopo kwenye vyombo vingi vya habari MKapa aliasiliwa na Familia ya Mwalimu (hakuasiliwa na Ukoo wa kina Nyerere) na familia nzima inamchukulia kama ni mtoto wa "nyumbani"

Kwa hiyo MKapa si wa ukoo wa Nyerere lakini ameasiliwa (adopted) na Familia ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Baba wa Taifa la Tanzania. Na kwa ufahamu wangu alichosema yeye ni kwamba Vincent si mtoto wa Mwalimu (Kwa hili yuko sahihi kabisa) lakini hakuna sehemu amesema Vincent si wa ukoo wa Nyerere!!

Mkapa an adopted child at 60+?....gimme a break......unajua adoption process ilivyo kisheria?
 
Una hakika, alichosema Mkapa ni kwamba Vicent sio mtoto wa mwalimu? Mbona karudia maneno yake akiomba samahani kwa Mama Maria ya kwamba hakujua kwamba Vicent ni mwana familia?..Jamani mbona mnakuwa mawakili wa vitu msivyovojua ili mradi tu kumsafisha mtu.
Ukoo (clan) na familia (family) ni vitu viwili tofauti kabisa Mkandara. Vincent si mwanafamilia wa Mwalimu lakini wako Ukoo mmoja, lakini Mkapa aliasiliwa (adopted) na familia ya Mwalimu Nyerere!!
 
nahangaika bure kuhalalisha uanafamilia wa Mkapa kwa Nyere, ktu ambacho hakipo, zilikua kauli za kisiasa tu!!! TUkumbuke tulishawahi kuambiwa Kikwete ni chaguo la Mungu

Wizi mtupu...
 
Mkapa an adopted child at 60+?....gimme a break......unajua adoption process ilivyo kisheria?

Nimetumia lugha rahisi ya kueleweka badala kusema "amechaguliwa" na wanafamilia wa Familia ya Mwalimu kuwa mwanafamilia mwenzao nikaamua kuandika "ameasiliwa" jambo ambalo ni sahihi kabisa. Kama inawezekana ku - adopt tabia tukiwa na miaka 60+ inashindikanaje ku-adopt ndugu katika umri huo?
 
Ukoo (clan) na familia (family) ni vitu viwili tofauti kabisa Mkandara. Vincent si mwanafamilia wa Mwalimu lakini wako Ukoo mmoja, lakini Mkapa aliasiliwa (adopted) na familia ya Mwalimu Nyerere!!
Familia ya NYERERE hakuna mahala imesemwa familia ya MWALIMU..wala Mkapa hakusema familia ya mwalimu... ati adopted...ubishi wa nini mkuu wangu?
 
...it doesn't matter!!!
 
Nimetumia lugha rahisi ya kueleweka badala kusema "amechaguliwa" na wanafamilia wa Familia ya Mwalimu kuwa mwanafamilia mwenzao nikaamua kuandika "ameasiliwa" jambo ambalo ni sahihi kabisa. Kama inawezekana ku - adopt tabia tukiwa na miaka 60+ inashindikanaje ku-adopt ndugu katika umri huo?

Ndugu yangu nakutakia kheri ya maisha.....kama imani yako ndio hiyo
 
...it doesn't matter!!!
It does according to Kigarama yeye anataka kulazimisha kwamba Mkapa kasema Vicent sio mwana familia wa Mwalimu wakati kinachozungumziwa ni familia ya NYERERE.. Hamuwezi kumsafisha hata kidogo jitihada zote hizi Mkapa mwenyewe (mropokaji) anawajibu na kaomba msamaha kwa kutoelewa, licha ya hivo Madaraka asingeingilia kati.
 
Mkuu Mkandara'

Heshima kwako.Hivi chifu wanzagi kasema lini atamwita mkapa,tupe source basi ya habari hiyo ili tuweze kuthibitisha unachokisema.Na huko kula yamini kulifanyika lini na kuna kumbukumbu zozote?

- Mkuu la Mkapa kuwa familia tumeshalipita, sasa la msingi ni what else wanajua between wao ambacho ni muhimu kwa sisi taifa na hasa wananchi, kama sio Arumeru tungejuaje haya sasa ya wao kuwa familia moja!

- I mean I have a lot of respect kwa Vincent, he is young and very smart na A leader, na I have no question about Mkapa's leadership skills, lakini najua for a fact sio a politician na yeye mwenyewe alikubali hilo alipokuwa anapewa Urais 1995 alipotaka asiwe Mwenyekiti wa CCM, sasa what went wrong mpaka Vincent kufikia kwenda njia panda ni lazima kuna something Mkapa said ambacho sio sawa!

- Hapo ndipo ninapo-question busara za CCM the giant kumpelekea kule, wakati wanao Vijana wengi sana ambao wangeweza kwenda huko na kukamilisha kazi, I mean I hope itakuwa lesson learned, kama Januari aliwea kushinda jimbo lake kwa kishindo, leo atashindwa nini kushinda huko Arumeru? Na ni lini hawa kina Januari watapewa nafasi hizi?

I mean in a big picture, ya Arumeru ayan raise some serious questions na nia ya Wazee kuaachia Vijana!, yanayo endelea huko ni aibu kwa taifa kwa wana familia ya Baba wa Taifa kuingia kwenye kampeni za kuchafuana kwa kumtumia the very Mwalimu, waliyetuaminisha kwamba wanamjua sana na kumpenda sana na siku zote wamekwua pamoja sana kwenye ishus zako za kifamilia,

I mean kwa nini Madaraka amejitokeza in fulll swing kum-support Vincent? Kuna nini hasa behind this whole thing? Ingekuwa Ughaibuni media isingeishia hapo ilipoishia kama ya kwetu kungefukuliwa mambo mengi sana, sisiemi kwamba kuna ukweli wa tunayoyasikia, lakini ninaaamiini kuna mengi sana yapo chini ya haya tunayoyasikia na tunahitaji kuyajua hili taifa!

ES!
 
Kwa wale tuliokuwa watu wazima 1989 tunakumbuka Jinsi Mwalimu alivyolazwa Uingereza kwa matibabu ya Kansa (Saratani) ya damu ambayo hatimaye ndiyo ilikuja kumuua.

Hizi tabia za kusahau mambo ya msingi ndiyo imetufikisha hapa tulipo. Toka 1989 hadi leo 2012 imepita miaka 23 huyu Vincent alikuwa wapi kutuambia kwamba Mkapa amempa Mwalimu Sumu itakayokuja kumuua? Kama amejua siku za hivi karibuni ni nani aliyemwambia? Hivi mwaka 1989 wakati Mwalimu anafanyiwa Opresheni ya kuzuia kansa kusambaa mwilini mwake Mkapa alihusikaje?
 
Nimetumia lugha rahisi ya kueleweka badala kusema "amechaguliwa" na wanafamilia wa Familia ya Mwalimu kuwa mwanafamilia mwenzao nikaamua kuandika "ameasiliwa" jambo ambalo ni sahihi kabisa. Kama inawezekana ku - adopt tabia tukiwa na miaka 60+ inashindikanaje ku-adopt ndugu katika umri huo?
Hivi unajua YAMINI ni nini na maana yake?
 
Back
Top Bottom