Mkapa: Nilipata wazo la Bima ya Afya (NHIF) kutoka kwa Rostam Azziz

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946
Another way to help the poor in a direct way was the National Health Insurance Fund which offered health insurance to families. I learnt about this scheme from Rostam Azziz, a member of parliament and successful businessman. In 1996 he started a health insurance scheme for the resident of his Igunga constituency. For the small sum of TZS 10.000, a family with four children could be insured for a whole year. (Mkapa, 2019:164)

Tuna mbunge mwingine wa mfano wa Rostam Azziz?
 
The whole Economic,Social &Political system ni copy kutoka kwa mzingu,Hamna mtawala wa kiafrika aliyeleta mfumo wake.

Huwa nashangaa ati wanamsifu Mkapa kwa kuanzisha TRA,NHIF,na taasisi nyinginezo-upumbavu mtupu.
To appreciate someone else sio dhambi.

Wangapi hadi sasa wamemaliza muda wao hapa duniani hawaja-copy vitu vyenye maendeleo kutoka kwa hao wazungu?

Kama mtu kafanya kitu chochote positive don't be jealous to appreciate him/her.
 
The whole Economic,Social &Political system ni copy kutoka kwa mzingu,Hamna mtawala wa kiafrika aliyeleta mfumo wake.

Huwa nashangaa ati wanamsifu Mkapa kwa kuanzisha TRA,NHIF,na taasisi nyinginezo-upumbavu mtupu.
du- umeenda mbali zaidi- kwa hiyo hujisifu kwa kuwa wa kwanza kwenu kuwa member wa JF?
ACHA CHOYO, MAONO MAFUPI, NA AKILI MBOVU
 
Hatuna hata bunge, achilia mbali mbunge mmoja.

Tuna genge la kahawa pale mjengoni likiongozwa na Job Ndugai.
Kwa vile Kibwetele Mbowe hayumo siyo-ambaye hakufanya chochote ujombani kwao Hai maana yeye tunajua ni wa Malawi
 
Another way to help the poor in a direct way was the National Health Insurance Fund which offered health insurance to families. I learnt about this scheme from Rostam Azziz, a member of parliament and successful businessman. In 1996 he started a health insurance scheme for the resident of his Igunga constituency. For the small sum of TZS 10.000, a family with four children could be insured for a whole year. (Mkapa, 2019:164)

Tuna mbunge mwingine wa mfano wa Rostam Azziz?
Atoke wapi
 
The whole Economic, Social & Political system ni copy kutoka kwa mzungu, hakuna mtawala wa Kiafrika aliyeleta mfumo wake.

Huwa nashangaa ati wanamsifu Mkapa kwa kuanzisha TRA, NHIF na taasisi nyinginezo-upumbavu mtupu.
Roho mbaya! MUNGU mwenyewe anawapenda wema ingawa mema yote wameiga kwa wengine
 
Another way to help the poor in a direct way was the National Health Insurance Fund which offered health insurance to families. I learnt about this scheme from Rostam Azziz, a member of parliament and successful businessman. In 1996 he started a health insurance scheme for the resident of his Igunga constituency. For the small sum of TZS 10.000, a family with four children could be insured for a whole year. (Mkapa, 2019:164)

Tuna mbunge mwingine wa mfano wa Rostam Azziz?

marehem alipenda sana matajiri
 
Ujinga ni hayo masharti ya bima kutenga baadhi ya watu(kuwakosesha sifa) wakati mpango ni bima kwa wote
 
Back
Top Bottom