Elections 2010 Mkapa na Mwinyi kutoshiriki kampeni za JK

Wanajamvi, hivi ni kwanini Marais wastaafu Mzee Mkapa na Mzee Mwinyi hawashiriki katika kumpigia kampeni Kikwete???!!!!!, kama sikosei tangu kampeni zimeanza sijawahi kuwasikia katika kushiriki kampeni za JK. kuna nini??

Nadhani ni kwa sababu kampeni za mwaka huu sio ngumu sana hawa wazee wangeachwa wapumzike. Mwinyi ana mika 86 na Mkapa zaidi ya sabini si umri mdogo huu kuwahangaisha. Nadhani wakihitajika wanaweza kuombwa kuongeza nguvu lakini ushindi bado unaelekea kuwa wa CCM.
 
Mbona Mtei, Makani et al hatuwasikii? tunaona mambo ya family affairs tu Dr Slaa, Josephine "mchumba" Mahimbo, Rose Kamili nk
.

Mbowe kaoa kwa Mtei mkwe wake, Ndesambulo na Lucy owenya ni mwanae wote ni chadema hao. Chama cha kifamilia??????????????.
 
Usiwaingize watu na heshma zao katika masuala ya familia ya mtu, hata hivyo mkapa ni mtu smart sidhani kama anaweza ana muda wa kufuatilia maswala ya ndani ya Jk na familia yake.

Mkapa yuko na mambo ya kimataifa ya ndani kaishastaafu labda kama ataombwa. Kwa sasa ana nafasi nyingi za kimataifa ikiwemo aliyochaguliwa hivi majuzi na katibu mkuu wa umoja wa mataifa kuwa mwangalizi mkuu wa uchaguzi nchini sudan.
 
Hakuna upinzani wenye nguvu this time around.Njia ni nyeupeeeeeeeee kwenda Ikulu.
 
Jamani hivi huyu Mtawa bado yupo?. Mkapa anaona haya kuongea majukwaani, bila shaka atapigwa mawe na kuzomewa. Labda mwinyi wananchi wanaweza kumpa nafasi ya kumsikiliza, lakini na yeye anauona uchafu uliopo CCM.
 
Mbona Mtei, Makani et al hatuwasikii? tunaona mambo ya family affairs tu Dr Slaa, Josephine "mchumba" Mahimbo, Rose Kamili nk

hahaaaa mwaka huu utaongea yote....umemuona Josephine anafanya kampeni ya shuka kwa shuka ,au majani kwa majani...hahaaaaa mwisho mtaanza kampeni za goti kwa goti
 
Watu wa chapati bana, kila kitu rahisi tu; hata kushika ukuta hakuna shida!.
Umeshapakatwa leo?

hahaaaaaa hii imenifanya niuzime kompyuta nilale ..dahhh mbavu zangu mie ....kashapakatwa ????
 
Originally Posted by Nyumbu-
Watu wa chapati bana, kila kitu rahisi tu; hata kushika ukuta hakuna shida!.
Umeshapakatwa leo?
hahaaaaaa hii imenifanya niuzime kompyuta nilale ..dahhh mbavu zangu mie ....kashapakatwa ????

Lugha hii ni ya mitaani haifai kwa great thinkers:A S 13:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom