Hahahaha nikionaga comments zako nafrahi sanaHivi inawezakanaje umalize miaka yako kumi kama rais wa nchi halafu urudi tena mtaani na maisha yako yaleyale uliyokuwa nayo kabla ya urais?
Wewe huwezi na wengi wetu hawawezi kufanya hivyo.
Labda tuongelee kuhusika kwake na mauaji ye Pemba.
Mahmoud Ahmadinejad alikuwa Rais wa Iran ameweza hayo.Hivi inawezakanaje umalize miaka yako kumi kama rais wa nchi halafu urudi tena mtaani na maisha yako yaleyale uliyokuwa nayo kabla ya urais?
Wewe huwezi na wengi wetu hawawezi kufanya hivyo.
Labda tuongelee kuhusika kwake na mauaji ye Pemba.
Unaongelea Iran, nchi ambayo watu wake wametosheka kiimani.Ahmed Abinajad alikuwa Rais wa Iran ameweza hayo.