Nacho cha Ruwa
Member
- Jul 10, 2009
- 31
- 0
Ingebidi Mkapa atoe decree kabla ya speech "Thou shalt not sleep in long presidential speech"... Nimeisoma yote, 18 pages. Tuache utani jamani, Mkapa is a genius kwenye speech zake, haswa za kiingereza. His intellect and oratory come second only to the great JK Nyerere. Pia alikuwa na authority kweli akiwa Rais, hata akihutubia mikutano ya kimataifa au kuwa interviewed na CNN, BBC, etc anakufanya uwe proud to be a Tanzanian. Tatizo biashara Ikulu, Kiwira, illegal contract extension ya mkataba wa TICTS na madudu mengine yataendelea kumsakama daima. Otherwise, Mkapa was a damn good president!
Miafrika bana...eti Mkapa is a genius kwenye speech. Hiyo maana yake nini sasa? Unajua maana ya genius wewe? Mbona Kiingereza anachotumia ni cha kawaida tu. Tatizo Miafrika hamjazoea kuona mambo ya exellence ndio maana mnakuwa mnashangaa shangaa na kumwaga misifa ovyo ovyo
Juli:
Kula tano. Vitu alivyoandika hapo, huku viwanja mwanafunzi yoyote wa digrii ya kwanza anaandika kwenye projects zake.
Miafrika bana...eti Mkapa is a genius kwenye speech. Hiyo maana yake nini sasa? Unajua maana ya genius wewe? Mbona Kiingereza anachotumia ni cha kawaida tu. Tatizo Miafrika hamjazoea kuona mambo ya exellence ndio maana mnakuwa mnashangaa shangaa na kumwaga misifa ovyo ovyo
Digrii ya kwanza nini....ma valedictorians wa high school wanatoa spichi kama hizo kwenye mahafali yao....oh wait....what is a valedictorian? Lol
Tuache utani jamani, Mkapa is a genius kwenye speech zake, haswa za kiingereza.
Kwa hiyo kusudi mtu awe genius inabidi atumie kiingereza cha ajabu ....kweli Miafrika mawazo yao yamepumbazwa na mi-low self eteem yao.
We unaweza au ushawahi kumsifia mtu?? maana sijawahi kukuona umemsifia yeyote na tena inakuaga tabu anaposifiwa mtu lazma uponde..??
Watanzania bwana , tutaendelea kuwa masikini mpaka infiniti ; yaani baada ya kuchambua content ya hiyo speech tunachambua style ! Kweli Miafrika inafikiria kinyume nyume.