Mkapa kutoshiriki kufunga kampeni Arumeru mashariki

Mkapa kutoshiriki kufunga kampeni Arumeru mashariki

Kwa aliyoyafanya na yaliyomkuta ilikuwa faida kwake kutokwenda kama walivyosema mwanzoni kuliko alivyofanya na kurudi na aibu. Mara aliomba apatanishwe na Vicent Nyerere na hatimaye akaishia kutetewan na Mama Maria Nyerere kwamba Mkapa hakuhusika na kifo cha Mwl. Nyerere. Hata hivyo mama Maria Nyerere alichindwa kujibu kama Vicent Nyerere ni mwanafamilia ya Nyerere.

Mkapa! aibu yako. Usirudi tena maana hatujui utakwenda kujimaliza.

Vicent Nyerere na mke wa mwalimu mama Maria Nyerere nani anazijua siri za ndani za mume? Hapa ni mmoja tu ndiye alikuwa mke wa Julius Nyerere msitake tukaelewa vibaya vicent akiendelea kubishana na mama maria Nyerere kama kwamba anabishana na mke mwenzake.
 
... akawaumbua siku ya ufunguzi wa kampeni kwamba mnaosema hivyo ni wajinga .
Nadhani aliyeumbuka ni yeye, kwani kuwepo kwake kumemshushia heshima zaidi kuliko malengo ya kufanya kampeni. Pole sana Benjamin Mkapa Nyerere

 
ccm ongezeni nguvu huko, mambo ni mazito. Pamoja na Mkapa, mwongezeni Nape, Tambwe Hiza, Yusuf Makamba na Rostam Aziz.
 
Aombe radhi na aseme ukweli kuhusu Nyerere maana hilo halitajificha milele

Mama maria alishafunga mjadala huu mwalimu alikuwa na mke mmoja tu wake za julius Nyerere wengine mnatokea wapi kubishana na kauli ya mama wa Taifa?
 
Nadhani aliyeumbuka ni yeye, kwani kuwepo kwake kumemshushia heshima zaidi kuliko malengo ya kufanya kampeni. Pole sana Benjamin Mkapa Nyerere


Nimeongeza jina Jabulani ataitwa Benjamin Mkapa Nyerere Jabulani kwa heshima yako
 
Aende au asiende lakini aseme kosa la nyerere kwake liko wapi.
 
Ametoa sharti la kwamba lazima aongozane na Mama Maria Nyerere.
 
aende akazomewe uko, wajua mtu unavyozeeka mwili na akili inakuwa inaeeka pia, huyu mzee BWM anazeeka vibaya
 
Akija atueleze namna alivyoua asipokuja jibu tutakuwa tumepata ntamwagiza mwendesha mashtaka afungue faili lake.......haraka sana sinema ndo inaanza
Chadema mna hofu moja kuu kwamba Mkapa akifunga kampeni Arumeru CCM itashinda. Hofu ya nini wakati kura hazijapigwa?
 
Kwa aliyoyafanya na yaliyomkuta ilikuwa faida kwake kutokwenda kama walivyosema mwanzoni kuliko alivyofanya na kurudi na aibu. Mara aliomba apatanishwe na Vicent Nyerere na hatimaye akaishia kutetewan na Mama Maria Nyerere kwamba Mkapa hakuhusika na kifo cha Mwl. Nyerere. Hata hivyo mama Maria Nyerere alichindwa kujibu kama Vicent Nyerere ni mwanafamilia ya Nyerere.

Mkapa! aibu yako. Usirudi tena maana hatujui utakwenda kujimaliza.
Nafikiri nyie hamumjui vizuri Ben,nawaambia hapa kwamba kama alianza lazima atamalizia hebu acheni hofu kwani mnamuogopa nini? Hapa najua mtu atasema hawamuogopi sasa kama haogopwi kwanini anajadiliwa sana?Mtu ambaye humuogopi kwanini uwe na hofu? Ben atafunga Kampeni
 
Waheshimiwa Great thinkers huu uzi ni TETESI so don't be troubled.!
 
Thread hii imeanzishwa tu inakimbia sana kuchangiwa ni dalili ya hofu ya kurudi tena kwa mkapa Arumeru.
Mama wa Porojo,nakuambia kwa yaliyotokea kama Mkapa atakuja simama jukwaani tena kwa ajili ya kampni nitajua kuwa kweli Mkapa ni 'CHUMA KIKALI MOTO'
 
ccm ongezeni nguvu huko, mambo ni mazito. Pamoja na Mkapa, mwongezeni Nape, Tambwe Hiza, Yusuf Makamba na Rostam Aziz.
Hao wenye red wakikutana wenyewe maeneo ya Meru lazima zipigwe kwanza kabla ya kupanda jukwaani.
 
Mlituambia hatakwenda kufungua kampeni Arumeru........akawaumbua siku ya ufunguzi wa kampeni kwamba mnaosema hivyo ni wajinga na hamkwenda kumuuliza mkamsemea kwenye vyombo vya habari.........mnarudia tena kosa lilelile.
Mama porojo unauza masaburi nini? Mbona umeyategesha kwenye avantor yako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom