Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
hata sielewi wangu, ila kuna mtu "kamtilia ngumu". Nitawapa mfano. Katika sakata lile la vijana Ukraine nilipata nafasi ya kuzungumza na viongozi wengi wa CCM na wafanyabiashara wakubwa kutafuta suluhisho na msaada wao. Jibu moja nililopatiwa ni onyo ambao inaonekana lilikuwa limetolewa "do not get involved" na mmoja alisema kuwa ujumbe kwake ulikuwa na maana "kama utaingilia kati utakuwa unapingana na Ikulu". Wote wakasympathize lakini wote wakaomba kukaa pembeni wasionekane wanapingana na Rais...
So, huyu bwana ana stori, na stori yake nina hamu nayo kuisikia... Inanikumbusha kisa cha Rambo.. somebody tried to take him back where he came from.. but he kept returning (in the First Blood 1) Lakini Mwafongo naona alirudishwa na kufungiwa leash thus the metaphor "banda la mbwa" hata watoto wake hawataki kuwa naye karibu..
Kyela siyo Rungwe waungwana,huyu mzee anatoka wilaya moja na Mh.Mwakyembe na yule RC wa Mbeya ,tuwaulize hao waungwana kulikoni mnamwacha muasisi huyu akipoteza mwelekeo .
Ni sahihi kwa mtoa hoja kumuomba Ben Mkapa kujaribu kumkumbuka huyu ndg Mwafongo,he was his right hand man ktk maisha ya uanahabari. Sas Ben ni bodi memba wa Kiwira ambayo iko Kyela iko mpakani mwa Kyela na Rungwe.
Kwa kufahamu yalomsibu mzee huyu Anko Adam Lusekelo atafutwe na kutupatia latest za huyu mzawa mabaga kwa sasa
tatizo nadhani hawa watu walipokuwa madarakani hawakuchangamkia tenda.. Wangekuwa wajanja wangekuwa wanajitengenezea vitripu, viwarsha, na visemina vya hapa na pale... But I have an idea.. kuna mtu ana contact zake..?
hata sielewi wangu, ila kuna mtu "kamtilia ngumu". Nitawapa mfano. Katika sakata lile la vijana Ukraine nilipata nafasi ya kuzungumza na viongozi wengi wa CCM na wafanyabiashara wakubwa kutafuta suluhisho na msaada wao. Jibu moja nililopatiwa ni onyo ambao inaonekana lilikuwa limetolewa "do not get involved" na mmoja alisema kuwa ujumbe kwake ulikuwa na maana "kama utaingilia kati utakuwa unapingana na Ikulu". Wote wakasympathize lakini wote wakaomba kukaa pembeni wasionekane wanapingana na Rais...
So, huyu bwana ana stori, na stori yake nina hamu nayo kuisikia... Inanikumbusha kisa cha Rambo.. somebody tried to take him back where he came from.. but he kept returning (in the First Blood 1) Lakini Mwafongo naona alirudishwa na kufungiwa leash thus the metaphor "banda la mbwa" hata watoto wake hawataki kuwa naye karibu..
nyerere alikuwa na huruma sana na wasaidizi wake waliomtumikia kwa uadilifu..bado nakumbuka siku alipoenda ukonga ,,..akamkuta MZEE OPIO,,anakaa kwenye nyumba ya mbavu za mbwa..na huku ana kuharusi ..machozi yalimtoka akasema hawa ndio waliokua wakihubiri ujamaa kwa maneno na kwa matendo...wasitelekezwe!!!
alimuonea huruma akampa pesa hundi kubwa tu...,gari lake binafsi [dicovery landrover]..na akasaidia vijana wake kupata ajira...
sasa sijui kama viongozi wa sasa wanawakumbuka watu waliofanya kazi kwa uadilifu ....wenye hali mbaya!!zaidi wameuzianna majumba na kuwaacha!!!
Mwanakijiji,
Unatakiwa kuwa fair, wangechangamkia tenda vipi wakati enzi hizo kwa kiongozi, hata kufuga kuku ilikuwa ni makosa?
System ili paly part kubwa sana kuwalemaza hawa wazee wetu. Walichapa kazi kwa nguvu zote lakini ilipofikia muda wa kuacha kazi, basi system ikawatupa.
Mkapa amsaidie huyu jamaa wakati Mkapa mwenyewe kakumbuka kwao baada ya kupata urais.
Kwa macho yangu nimeona Joseph Sinde Warioba akijenga nyumba kwao wakati akiwa waziri mkuu lakini kabla ya hapo alijisahau.
Ndio kuna watu walikuwa waaminifu lakini wengi wao walijisahau kujenga kwao au sehemu walizoishi.
Nyerere alikuwa mtu mmoja tu, hata kama Nyerere alikuwa na nguvu za kifalme bado watu waliondoa wafalme huko Ufaransa.
Nyerere atalaumiwa, lakini Watanzania wote ambao walikuwa na uwezo lakini hawakufanya / hawafanyi kitu kukataa UStalini (ironically this guy is suffering from Stalinism and his name is Stalin, go figure!) wanabeba lawama.
...mmmmh, nashindwa nianzie wapi; wakati mwingine tuteme mate chini na kumkumbuka Mola.Yaani Lile Linyerere lilitulostisha kweli...
Najua watu wamemlaumu Nyerere kwa mengi lakini hili la kuzuia "hata kufuga kuku" is the extreme of all! Maana sisi wafuga kuku wa enzi hizo tunaliona halina msingi. Nakumbuka jinsi tulivyokuwa tunanunua vifaranga toka Zambia na kule Moshi..
Binafsi (pengine na wengine hapa) ninatatizwa na hiyo sentenso kwenye 'quote'. Ni kitu gani kilimfukuzisha kazi ambacho yeye, kama binadamu mwenye hisia na utashi, anashindwa kuweka wazi mpaka leo ambapo TZ imebadilika na kuwa nchi ya MAFISADI?...In Dar, he joined the Daily News and Sunday News as a sub-editor, a job he lost in circumstances that he declined to disclose...