Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,462
- 39,928
hata sielewi wangu, ila kuna mtu "kamtilia ngumu". Nitawapa mfano. Katika sakata lile la vijana Ukraine nilipata nafasi ya kuzungumza na viongozi wengi wa CCM na wafanyabiashara wakubwa kutafuta suluhisho na msaada wao. Jibu moja nililopatiwa ni onyo ambao inaonekana lilikuwa limetolewa "do not get involved" na mmoja alisema kuwa ujumbe kwake ulikuwa na maana "kama utaingilia kati utakuwa unapingana na Ikulu". Wote wakasympathize lakini wote wakaomba kukaa pembeni wasionekane wanapingana na Rais...
So, huyu bwana ana stori, na stori yake nina hamu nayo kuisikia... Inanikumbusha kisa cha Rambo.. somebody tried to take him back where he came from.. but he kept returning (in the First Blood 1) Lakini Mwafongo naona alirudishwa na kufungiwa leash thus the metaphor "banda la mbwa" hata watoto wake hawataki kuwa naye karibu..