Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,520
- 6,517
wewe kweli mjingaa haujui kuwa chama ni watu na hao watu ni Watanzania.Unajua walioko kwenye chama ni maroboti.
bila watu hakuna chama
Sawa kabisa mkuu, naona ccm wanataka kuwambia watanzania kuwa chama na wanachama ni vitu tofauti na havihusiani.