Mkapa defends Tanzania's minerals policy

Mkapa defends Tanzania's minerals policy

Sheria zote zinatungwa na bunge Rais ni kuzisaini tu.. full stop
Ana saini wizi ufanyike?
Hii habari iliandikwa mwaka 2000 baada ya Mheshimiwa Rais kufungua mgodi wa Geita (Ashanti Goldfields)

Geita, Tanzania - Tanzanian President Benjamin Mkapa on Thursday defended his government's generous minerals policy against opposition critics who say the country has sold its resources too cheaply to foreign mining companies.

Foreign mining investment was key to the country's economic development, but Mkapa said international companies also had a responsibility to the local environment and job creation.
The Tanzanian leader is facing presidential and parliamentary elections in October and opposition critics have accused the government of giving away mineral deposits through low royalties and other financial incentives.

"I am conscious of the criticism I am subjected to by some of my political opponents and compatriots that in an attempt to woo investors I have given away too much," Mkapa said in speech to open officially the Geita gold mine in northwest Tanzania.
Geita is a 50-50 joint venture between Ghana's Ashanti Goldfields and South Africa's AngloGold and will be East Africa's biggest gold mine when it reaches full annual output of 500 000 ounces annually by 2001.

"Much as I understand the concerns of those who wished the government to mine gold itself, or take a larger share of the proceeds, I believe the path we have taken is a better alternative," Mkapa said.

"We will continue to nurture the kind of investment climate that will enable us to turn the mineral wealth underground into a catalyst for rapid growth and development of our country and its people," he added.

Foreign mining companies have praised Tanzania as a model for other African countries eager to attract mining investment. Tanzania has modernized its mining code and issued at least 200 mineral exploration licenses to local and foreign firms since 1997.

Several new gold mines are expected to boost the country's gold output to one million ounces in 2001 from around 250 000 ounces this year.

Mkapa said his government's goal was to raise mining's contribution to the country's GDP to 10 percent in the medium term from the current 2.1%.

Aside from Geita, the Golden Pride mine opened in 1998 is producing over 220 000 ounces of gold a year, and two other mines are under construction. Canada's Barrick Gold is expected to bring its Bulyanhulu mine into production in the first quarter of 2001 with output above 400 000 ounces of gold annually.

The North Mara mine owned by Australia's Afrika Mashariki Gold Mines will cost $80 million to build and produce 200 000 ounces annually towards the end of 2001.

Critics have said a generous minerals policy would damage a fragile environment and create few jobs. Mpaka issued a challenge to mining executives to help him address these issues.
Companies would have to ensure the environment was protected during mining activities and increase their sourcing of supplies from local businesses.

"If you do not give them a chance they will never have the experience to be competitive and this could brew unnecessary resentment," he said.

He also pressed Ashanti and Goldfields to provide more skills training at the mine, where 85% of the 600-strong workfore is Tanzanian, but are at the lower end of the mine hierarchy. "And they will remain there if we do not invest in more training and skills development," he said.

Source: Mkapa defends Tanzania's minerals policy
 
Ndio maana bado nalilia Katiba ya Warioba...CCM iliipiga chini ili wezi waendelee kufaidi baada ya kustaafu hadi watakapoingia makaburini. Ndio maana wengine tunaamini adui mkubwa wa taifa hili ni CCM na mimi nitaendelea kuichukia bila kuisamehe. Ni chama kilichoweza kustawi kwa kupora mali za wananchi wa taifa hili na kuwaacha mahohehahe huku wao wakineemeka na kuzidi kunenepeana. Magufuli anahangaika na kuta na paa akisahau kwamba ili nyumba iwe imara, salama na idumu, inahitaji msingi imara, Katiba!

JPM anahangaika na vijimende wakati Mapanya yanapeta mtaani
 
Magufuli kweli niwakuombewa na kila aina ya maombi naanza kuwa na imani nae. Mkapa na wengine wameharibu taifa letu hl lpo uchi halina nguo. Angalia tu ubinafsishaji, mikataba mibovu ya uwekezaji, uuzwaji wa nyuma za taifa, mbuga za wanyama, to mention a few. Hakuna mwana ccm yeyote ambae angelithubutu kama Magufuli. Narudia hayupo. Hata Lowassa chn ya ukawa naamn asingeliweza hayo maana upigaj wake unajulikana na makampuni ya madin yalisapot kampen zake kwa hela chafu ili yalinde maslahi yao. Yalijua fika Magu ni mwiba kwayo. Hl suala nila kitaifa c chama flan na yatupasa watz wote kushikamana na kusaidiana. Walio tuingza mkenge ni viongoz wetu wasio hata na sura za aibu. Baada ya kifo cha Baba wa Taifa, Mkapa alikosa mtu wa kumkemea akajawa na dharau, kiburi, overconfidence na kutuona watanzania wote majuha. Baadhi ya hotuba za Nyerere baada ya kustaafu, Mwinyi alipo Fanya fyongo alimkemea hadhalani. Kifo cha Nyerere inaonekana ilikua ni sherehe kwa baadhi ya viongozi. Naamini Magu atatuweka pazuri ila nae akubari ushauri wenye tija kwa taifa na watanzania. Ni wazi anamaumivu makali hususani kwa viongozi waliopta rejea baadhi ya hotuba zake za kujuta kwann aligombea urais kila sehemu anapogusa hewa. Nahs kama katiba ingelikua inaruhusu na asingelitengenezwa na Mkapa na Kikwete angelipitia upinzani mama yangu wooote wangelikua lupango. Ni madudu ya watangulz wake ayaondoe kwa maslahi mapana ya watanzania wote. Kweli tumuunge mkono kwenye mapambano haya. Ni hatari kwa maisha yake na kajitoa mhanga kwa ajili yetu. Mungu mbark na kumlinda Magufuli.
 
Jamani kwa sasa tusilaumiane, huu si muda wa kulaumiana, ni muda wa kuchukua hatua kwa kumuunga mkono Mh. Rais, mengine hayo tutaanza kulaumiana vita ikiisha.
Asipomkata lazima abebe lawama.Migodi yote itaifishwe kufuta lawama hizi
 
Sera ya madini ni kweli haina shida imeandikwa vizuri tu.

Issue hapo ni hiyo mikataba mibovu tuliyoingia ambayo imetokana na sheria zetu mbovu kuhusu madini.

Mkapa wala si wa kulaumiwa ktk hili bali wataalam wake ndiyo watu wa kulaumiwa kutokana na wengi wao kuishia kupewa 10% basi kila kitu wanaachia.

Na natokea yake ndiyo huo wizi wa ajabu na hasira ya miaka mingi huku wataalam wakiangalia tu na viongozi wakikaa kimya
kama kilanja mkuu unapoingizwa chaka na watu wako zahama utaibeba wewe kwanza ndio wafate vijana wako na kwanini watalamu wamdanganye kwa miaka yote hiyo aliokuepo hivi kweli kulikuwa hakuna wakumwambia kuwa watendaji wanakupotosha katika mikataba fulani??
 
Magufuli kweli niwakuombewa na kila aina ya maombi naanza kuwa na imani nae. Mkapa na wengine wameharibu taifa letu hl lpo uchi halina nguo. Angalia tu ubinafsishaji, mikataba mibovu ya uwekezaji, uuzwaji wa nyuma za taifa, mbuga za wanyama, to mention a few. Hakuna mwana ccm yeyote ambae angelithubutu kama Magufuli. Narudia hayupo. Hata Lowassa chn ya ukawa naamn asingeliweza hayo maana upigaj wake unajulikana na makampuni ya madin yalisapot kampen zake kwa hela chafu ili yalinde maslahi yao. Yalijua fika Magu ni mwiba kwayo. Hl suala nila kitaifa c chama flan na yatupasa watz wote kushikamana na kusaidiana. Walio tuingza mkenge ni viongoz wetu wasio hata na sura za aibu. Baada ya kifo cha Baba wa Taifa, Mkapa alikosa mtu wa kumkemea akajawa na dharau, kiburi, overconfidence na kutuona watanzania wote majuha. Baadhi ya hotuba za Nyerere baada ya kustaafu, Mwinyi alipo Fanya fyongo alimkemea hadhalani. Kifo cha Nyerere inaonekana ilikua ni sherehe kwa baadhi ya viongozi. Naamini Magu atatuweka pazuri ila nae akubari ushauri wenye tija kwa taifa na watanzania. Ni wazi anamaumivu makali hususani kwa viongozi waliopta rejea baadhi ya hotuba zake za kujuta kwann aligombea urais kila sehemu anapogusa hewa. Nahs kama katiba ingelikua inaruhusu na asingelitengenezwa na Mkapa na Kikwete angelipitia upinzani mama yangu wooote wangelikua lupango. Ni madudu ya watangulz wake ayaondoe kwa maslahi mapana ya watanzania wote. Kweli tumuunge mkono kwenye mapambano haya. Ni hatari kwa maisha yake na kajitoa mhanga kwa ajili yetu. Mungu mbark na kumlinda Magufuli.
na Magufuli asije kutuingiza kwenye hasara nyingine yakulipa mabilioni kwama tulivyo fanya kwa dowans maranyingi kazi zake ni zakukurupuka aache kupenda makofi
 
Hivi huwa ni wewe kweli mayala au? Sasa anastaili pongezi gani zaidi ya kulaumiwa.Awakamate walioingiza nchi chaka hapo sawa pongezi
Mkuu Mguu Ndama, we have to encourage him on the little good things he does ili aweze kutenda makubwa.

Pia we have to be appreciative kwa madogo ili tuweze kupewa makubwa.

Paskali
 
Jamani kwa sasa tusilaumiane, huu si muda wa kulaumiana, ni muda wa kuchukua hatua kwa kumuunga mkono Mh. Rais, mengine hayo tutaanza kulaumiana vita ikiisha.
Ntamuunga mkono akigusa root causes.
By then Muhongo hakuwepo kabisa
 
Mkuu Mguu Ndama, we have to encourage him on the little good things he does ili aweze kutenda makubwa.

Pia we have to be appreciative kwa madogo ili tuweze kupewa makubwa.

Paskali
Tunataraji kubadili vifungu vya katiba ili wahusika wakui washughulikiwe
 
Alafu yule babu kikongwe slow slow anatokwa povu utafikiri ccm ndo wameshika dola leo asubuhi.
 
Sera ya madini ni kweli haina shida imeandikwa vizuri tu.

Issue hapo ni hiyo mikataba mibovu tuliyoingia ambayo imetokana na sheria zetu mbovu kuhusu madini.

Mkapa wala si wa kulaumiwa ktk hili bali wataalam wake ndiyo watu wa kulaumiwa kutokana na wengi wao kuishia kupewa 10% basi kila kitu wanaachia.

Na natokea yake ndiyo huo wizi wa ajabu na hasira ya miaka mingi huku wataalam wakiangalia tu na viongozi wakikaa kimya

Wewe ni mjinga endelea kutetea Mkapa ndo maana aliwaita nyie malofa
 
Tatizo ccm wafuwasiwake wengi hawajielewi kabisa na hata huhoji hawajui wapowapo tu nimizigo kwa maslahi ya taifa
 
Yaan nikiwasikia acacia napata moyo fulan wa kizalendo ..weusi wanasema tunaliamsha dude ili dude litawatembelea
 
Kipindi hicho leading opposition critics walikuwa kina mrema,mbatia,marandu sio?
 
Back
Top Bottom