mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 Oct 2, 2011 #21 Kiranja Mkuu said: amejitakia. Si alituambia ameacha siasa? Click to expand... Alisema ameacha siasa ili watu waache kumwandama na maswali kuhusu kiwira nk. Sasa atajua maana ya kuacha siasa nini.
Kiranja Mkuu said: amejitakia. Si alituambia ameacha siasa? Click to expand... Alisema ameacha siasa ili watu waache kumwandama na maswali kuhusu kiwira nk. Sasa atajua maana ya kuacha siasa nini.
M mgosiwakaya Member Joined Aug 10, 2011 Posts 61 Reaction score 13 Oct 2, 2011 #22 Hilo zee linazeeka vibaya na kwa kutofikiria kwake linafanya siku likifa watu washangilie badala ya kuwa na majonzi!
Hilo zee linazeeka vibaya na kwa kutofikiria kwake linafanya siku likifa watu washangilie badala ya kuwa na majonzi!
mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 Oct 2, 2011 #23 Shine said: Wamemtumia huyu mzee kwani ana expirience ya wizi wa kura kama alivyofanya zanzibar mwaka 2000 Click to expand... Hizo mbinu za zanzibar zilishapitwa na wakati.
Shine said: Wamemtumia huyu mzee kwani ana expirience ya wizi wa kura kama alivyofanya zanzibar mwaka 2000 Click to expand... Hizo mbinu za zanzibar zilishapitwa na wakati.
king'amuzi JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 614 Reaction score 225 Oct 2, 2011 #24 hahahaha Ben kalime lushoto utavuna sio siasa bongo utanuka bure! RIP CCm
mashikolomageni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 1,570 Reaction score 193 Oct 2, 2011 #25 Na walale navyo manyang'au wakubwa!
CHIETH Senior Member Joined Aug 15, 2011 Posts 179 Reaction score 67 Oct 2, 2011 #26 Mkapa ndiye rais aliyeharibu nchi. Tumeshindwa tu kumshitaki. Nikikumbuka ya Zenj na ukandamizaji wa wapinzani siwezi hata kumuangalia. Ni muaji huyu.
Mkapa ndiye rais aliyeharibu nchi. Tumeshindwa tu kumshitaki. Nikikumbuka ya Zenj na ukandamizaji wa wapinzani siwezi hata kumuangalia. Ni muaji huyu.