Mkapa apewa tunzo ya heshima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkapa apewa tunzo ya heshima

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Filipo, May 7, 2011.

 1. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Chama cha wahandishi wa habari nchini, Taswa wamempa tunzo ya ya heshima aliyekuwa rais wa JMT, awamu ya tatu ndugu B. W. Mkapa kwa mchango wake katika kukuza na kuendeleza michezo nchini.

  Mkapa atakumbukwa kwa ahadi yake aliyoitekekeleza ya kujenga uwanja wa kisasa wa michezo hapa nchini.

  Tunzo hiyo alipewa jana kwenye sherehe za kuwatangaza na kuwazawadia wanamichezo bora wa mwaka zinazoandaliwa na Taswa kila mwaka.

  Source ni Clouds FM, kipindi cha saturday breakfast, segment ya PB sports.
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  Nilifurahi baada ya kuona mzee wa TANBEN, Meremeta n.k alipoanza kumnanga mwenzake Boyz 2Men a.k.a Mr.handsome/Sharobalo Tz Presidaa, akisema yeye alikusanya pesa ya ndani bila kukopa akaweza kujenga barabara, MES, Uwanja wa mpira n.k mpaka akasamehewa madeni ya nje tofauti na sasa.

  Hii inamaanisha Sharobalo Prezidaa ameshindwa kumuiga mwenzie, kwa hiyo anamcheka...kipofu anamcheka kiziwi, hawa ndo marais wa Tz
   
 3. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,797
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka mechi ya kwanza ya ufunguzi wa uwanja wakati jk yupo madarakani tayali ilionyeshwa picha ya Big Ben akikagua uwanja kwenye big screen hapo uwanjani watu walishangilia sana.

  Atleast Mkapa alijitahidi kutimiza ahadi zake, Mtwara na Lindi leo hii tunaenda vizuri japo imebakia sehem kidogo tu ya kumalizia.

  Bora ya Mkapa kuliko huyu MDANGANYWA WA KILA SIKU. Hajui mambo kisingizio watendaji wake wamemdanganya.
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  ni kweli alikusanya hela nxingi humuhumu nchini na akazifanyia mambo mengi mazuri. Lakini hatuwezi kumsamehe kwa kutuibia nyingine nyingi tu na kujiuzia mali za uma kwa bei ya kutupa kama Kiwira, nyumba ya serikali nk!
   
 5. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hakika Mkapa sitakusahau! Bishololo wa sasa kazi yake ni kuahidi kwenda kwa mbele. Utekelezaji ni almost zero.
   
 6. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  ufisadi, uongo, ujinga, dharau, propaganda, ahadi hewa na failure za huyu jamaa aliyekabidhiwa kijiti ndio mambo yanayompa credit bwana BWM
   
 7. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  ufisadi, uongo, ujinga, dharau, propaganda, ahadi hewa na failure za huyu jamaa aliyekabidhiwa kijiti ndio mambo yanayompa credit bwana BWM
   
 8. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Rweye unaonekana wewe siyo mtu makini au si mjuzi wa historia ya nchi yako na maswala ya kiuchumi ya dunia. Usipotambua mchango wa BEN kwnye macro economic aspects na infratruscture then wewe ni kipofu zaidi
   
 9. A

  AridityIndex Senior Member

  #9
  May 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa vile katiba hairuhusu BWM kurudi tena state house basi na msihangaike sana sana. Kusini hazina yetu ya viongozi wenye uwezo wa kuliongoza Taifa la Tanzania na kurejesha matumaini ya watanzania waliokata tamaa ipo, imesheheni na haijakauka.

  Mh. Membe, the next president atafanya vizuri kuliko hata BWM, ni offer nyingine hiyo ya kuachana na masharobaro changamkieni wajameni.
   
 10. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Badala ya sisi wenye pesa (walipa kodi) kupewa tuzo anapewa fisadi aliyeamua kuzitumia kwa kujenga uwanja?
   
 11. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #11
  May 7, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,288
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Kwa wenzetu, ukishafanya madudu kama aliyofanya Mkapa kila mtu au taasisi inajitenga na kuwa mbali na wewe. Wizi mkubwa aliofanya Mkapa unafunika mema yote aliyoyafanya. Isitoshe, kujenga uwanja kwa kodi zetu ni wajibu wake hivyo si kitu cha kupigiwa ngoma sana.

  Tuzo anayostahili kwa sasa ni samansi ya kujibu tuhuma zake mahakamani.
   
 12. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  hongera sana mkapa kwa tunzo hiyo ya heshima, uliyopewa.
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,420
  Likes Received: 81,471
  Trophy Points: 280
  Hivi hakuna Watanzania wanaostahili kupewa tuzo ya heshima mpaka apewe Mkapa? Kwa lipi hasa aliloifanyia Tanzania hadi astahili kupewa heshima? Nchi nyingine angekuwa lupango kufuatia tuhuma zake nzito za ufisadi katika awamu yake, kule China mnajua mtu kama huyu wanavyomfanya bila kujali aliwahi kushika wadhifa gani katika Serikali.

  The African Executive | Opinions

  Mkapa is corrupt: he has never disputed the fact that he and his wife, family and friends amassed much wealth and illegally acquired Kiwira Coal Mine using the office of the president. Should Mkapa be stripped of presidential immunity, he would face numerous corruption charges. He thus, cannot feel the pains the Congolese feel. True, this anomaly cost Mkapa. He lost the Mo Ibrahim prize for Africa’s good leader of year. Indeed, this was caused by Tanzanians after they were appalled.
   
 14. p

  plawala JF-Expert Member

  #14
  May 7, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alijitahidi kutumia mda wake na rasilimali zilizopo kufanya mambo ambayo yanamweka kwenye kumbukumbu chanya,kitendo cha kufanya biashara akiwa ikulu,kubinafsisha mashirika ya umma kwa bei nafuu,kuuza nyumba za serikali ni juhudi za kuiharibu tanzania yetu,kwa hayo nayo anastahili tuzo ya heshima mbaya.
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,420
  Likes Received: 81,471
  Trophy Points: 280
  Baadhi ya Waafrika/Watanzania ndivyo walivyo! wanakuwa na Rais anawaibia na kuwafisadi na kuwatia hasara chungu nzima (Rada, Mikataba ya Madini, ununuzi wa ndege ya Rais, magari na helicopters za jeshi, EPA, Meremeta, Kagoda, Kiwira Coal Mining, Uuzaji wa mashirika na nyumba za Serikali kwa bei ya kutupa, TANESCO) kama Taifa halafu wanageuka na kukenua na kumwambia ahsante sana na hii hapa ni tuzo yako ya heshima! Anastahili heshima kweli huyu!? yeye mbona hakutuheshimu Watanzania na pia akaamua kutusaliti ili kujitajirisha kwa mali zetu!?

  Nchi nyingine huyu angekuwa jela kwa wizi mkubwa alioufanya. Halafu nchi haiendelei tunalalamika! Nchi itaendelea vipi ikiwa wezi wakubwa wanapewa tuzo za heshima ambazo hawastahili! Hata Rwanda ambao waliuana 1994 sasa hivi wanafanya vizuri sana ukilinganisha na nchi yetu. Kweli mvunja nchi ni Mwananchi!
   
 16. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #16
  May 7, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  BWM kama binadamu masikini yeyote ukimweka karibu na pesa hawezi kujizuia lazima atachukua. Tanzanian president has a full access to all the money so he just decide how much to take. BMW took some money yes but did take all.

  Hebu tumwangilie huyu shalobaro hata kama hatuibii directly je hiyo hela inaenda wapi maana hakuna kinachofanyika ahadi za uchaguzi zaidi ya miambili lakini zote hazitimii. Mkapa sikusikia anaahidi vitu vingi ila alitekeleza ile miradi iliyokuwa inamgusa kila mtz.
  I love BWM though he took some money but he did very tremendous job. I wish he is still a president!
   
 17. p

  pikadili Member

  #17
  May 7, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ulikuwa usanii wa mwaka,nilihisi anaweza kuwa alitumia mlango nyuma kuweza kumbukumba ktk swala kama hilo ili tu aweze kurudisha imani yake kwa jamii kwani BWM kutuibia sana,kuna taarifa za kiintelijensia jamaa kutoka china walioshiri kujunga kujenga uwanja {injinia alishongwa after rais wa china kutoka bongo kuzindua uwanja ulijengwa chini ya kiwango pesa imeliwa ufisadi,BWM anahusika sana pamoja na timu iliyokuwa nyuma ya mradi
   
 18. i

  ibange JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hakuna mtu mwenye mawazo huru anaweza kusema mkapa aliku
  http://www.google.com
   
 19. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,053
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Nawaunga mkono TASWA kwa hili. Mzee Ben anastahili kupata tuzo hiyo. Hongera TASWA, hongera Mzee Ben. Mengine pembeni kwa sasa!!
   
 20. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkapa ameyafanya makubwa Tanzania, sema bahati yake mbaya, kaikuta nchi shehe mwinyi ameiweka pabaya, utafikiri kampuni ya kidini. ndio kosa kubwa la Nyerere, ujanja wote huo ni mwisho wake kutuwekea mwinyi? asante Mkapa kwa jitihada japo kidogo
   
Loading...