Rais Jakaya Kikwete jana alikiri mbele ya mkutano mkuu wa CCM kuwa mambo yote yaliyofanyika ni ushauri wa Benjamini Mkapa. Kikwete aliyasema hayo wakati akiwashukuru wanachama walio mpigia kura alisema,
ninanukuu,
''mara nyingi mimi huwa nikisha jifungia ikulu huwa sielewi kinacho endelea na wakati mwingine hawa majamaa huninyang 'anya hata simu yangu ya mkononi ili watu wasinisumbue lakini mzee Mkapa akisikia au kuona jambo yeye kwakuwa hazuhiliwi pale ikulu hunifuata moja kwa moja na kunipa maelekezo ndugu wajumbe hata utaratibu tulioutumia kwenye mkutano huu ni mzee Mkapa kapangilia''.
Hivyo inaonesha jinsi gani Mkapa anavyomsaidia JK