Mkuu unaweza kuambatanisha na hiko kipengele kwenye rasimu kinachoruhusu rais mstaafu kugombea tena?Kutokana na rasimu ya katiba kuruhusu waliokuwa marais kugombea tena urais,nafikiri haya ni maandalizi ya ukweli ya Mzee wetu Mkapa kuishika hii nchi tena.
Watumishi wa Umma wameonekana kulisubiria hili kwa hamu sana kwa kuwa kwa wakati wa uongozi wake aliwapa heshima na nchi ilikuwa na fedha.
Maoni yako tafadhali.
Kutokana na rasimu ya katiba kuruhusu waliokuwa marais kugombea tena urais,nafikiri haya ni maandalizi ya ukweli ya Mzee wetu Mkapa kuishika hii nchi tena.
Watumishi wa Umma wameonekana kulisubiria hili kwa hamu sana kwa kuwa kwa wakati wa uongozi wake aliwapa heshima na nchi ilikuwa na fedha.
Maoni yako tafadhali.
Leo jua kali sana sijui kwa nini?
Mkuu unaweza kuambatanisha na hiko kipengele kwenye rasimu kinachoruhusu rais mstaafu kugombea tena?
Mleta mada kalileta hili kana kwamba hii rasimu ya katiba mpya ndiyo imelileta kwa mara ya kwanza. Nadhani ndio lililosababisha Ndibalema kuulizaKwani katika katiba tuliyonayo sasa inakatazwa? Kwa uelewa wangu mdogo, rais msataafu hazuiliwi (Kikatiba) kugombea tena urais baada ya rais mwingine kuiongoza nchi kwa kipindi chake. Naamini ni UTARATIBU TUU na siyo SHERIA inayowafanta marais wastaafu wasigombee tena urais.
Soma tena katiba ndugu yangu.Kwani katika katiba tuliyonayo sasa inakatazwa? Kwa uelewa wangu mdogo, rais msataafu hazuiliwi (Kikatiba) kugombea tena urais baada ya rais mwingine kuiongoza nchi kwa kipindi chake. Naamini ni UTARATIBU TUU na siyo SHERIA inayowafanta marais wastaafu wasigombee tena urais.
Asante kwa ufafanuzi. Lakini hata hiyo katiba ya sasa inakataa kwa mtu aliyekuwa rais kwa vipindi viwili kugombea tena.Mleta mada kalileta hili kana kwamba hii rasimu ya katiba mpya ndiyo imelileta kwa mara ya kwanza. Nadhani ndio lililosababisha Ndibalema kuuliza
Kwani katika katiba tuliyonayo sasa inakatazwa? Kwa uelewa wangu mdogo, rais msataafu hazuiliwi (Kikatiba) kugombea tena urais baada ya rais mwingine kuiongoza nchi kwa kipindi chake. Naamini ni UTARATIBU TUU na siyo SHERIA inayowafanta marais wastaafu wasigombee tena urais.
Asante kwa ufafanuzi. Lakini hata hiyo katiba ya sasa inakataa kwa mtu aliyekuwa rais kwa vipindi viwili kugombea tena.
Leo jua kali sana sijui kwa nini?
Mkapa au nkapa?
Leo jua kali sana sijui kwa nini?