Kutokana na rasimu ya katiba kuruhusu waliokuwa marais kugombea tena urais, nafikiri haya ni maandalizi ya ukweli ya Mzee wetu Mkapa kuishika hii nchi tena.
Watumishi wa Umma wameonekana kulisubiria hili kwa hamu sana kwa kuwa kwa wakati wa uongozi wake aliwapa heshima na nchi ilikuwa na fedha.
Maoni yako tafadhali.
Watumishi wa Umma wameonekana kulisubiria hili kwa hamu sana kwa kuwa kwa wakati wa uongozi wake aliwapa heshima na nchi ilikuwa na fedha.
Maoni yako tafadhali.