KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 199
Real nimeipenda sana hii. Kweli watu wanavua gamba kimyakimya. W Malecela kama siyo hasira za EA, hongera sana. Huya mkapa huwa naomba Mungu asimchukue ili aje anyogweDu mkuu naona hujataka hata kumumunya neno moja. Hongera!
Akizungumza katika mkutano wa Mkapa HIV Foundation, kasema lazima taifa hili lijiheshimu na lirudishe heshima yake kwa kutumia sera yake ya kujitegemea.
Kasema kasoma makala fulani kupitia laptop yake kuwa Tanzania ni ya tatu duniani kwa kuomba ikitanguliwa na Afghanistan na Irak.
Maoni yangu:
Kiukweli hii ni aibu kwa serikali ya 'handsome' boy kuomba hivyo. Hivi Tanzania tangu vita ya nduli hadi leo ndo imetuathiri kiasi hiki? Akina irak tunawasamehe kwa madhila waliyopitia. Tanzania umepitia madhila gani? Hii ni aibu kwa JK.
Chanzo: ITV NEWS
Tusilalame, Katina haityuruhusu kumshitaki rais Wala kuhoji maamuzi yake, kanakwamba si mfanyakazi wetu! Kwani jamani. Manager anaweza kumdharau Mwana hisa wa ka kampuni, iweje raisi. awe na uwezao huo? Wana hisa si ndo wenye maamuzi ya mwisho j ya maamuziyanayohusu nchi yetu, tu aruhusa kikatiba kuandamana kupinga Haya!
Baada ya maovu yote aliyotufanyia hili taifa ikiwa ni pamoja na kutuwekea serikali ya sasa, bado ana ubavu wa kuongea! Only in Tanzania.
Mkuu ni serikali gani ambayo ni bora kwako? Au bado haijaingia madarakani?Baada ya maovu yote aliyotufanyia hili taifa ikiwa ni pamoja na kutuwekea serikali ya sasa, bado ana ubavu wa kuongea! Only in Tanzania.
Kumzungumzia Huyu mswahili wa Msoga ni kupoteza muda tu, kwani udhaifu wake wa kiuongozi hata wale malaya wauza uchi pale Jolly club wanaujuwa. nchi ni kama haina Rais.
Mkapa ni hopeless. Amesahau uhuni alioufanya ikulu. Kufanya biashara akiwa ikulu yeye na mke wake. Akae kimya asitukumbushe uhuni alioufanya yeye na Mramba.
nakuunga mkono hasa majadiliano mfano halisi madaktari majadiliano yao yamekwama
kwani akinyongwa hatakuwa amechukuliwa na Mungu? Au unaongea2.Real nimeipenda sana hii. Kweli watu wanavua gamba kimyakimya. W Malecela kama siyo hasira za EA, hongera sana. Huya mkapa huwa naomba Mungu asimchukue ili aje anyogwe
Bado tunaambiwa kuwa safari za JK zina tija kwa taifa kwa kuwa zinaleta wawekezaji. na hapo majuzi wakati rais akialikwa na G8 anawadadavulia wazungu kuwa nchi hii ina ardhi ya kumwaga kwa ajili ya kilimo. kama tumewaita kuwekeza kwenye madini na wanatuachia mahandaki, kwenye kilimo si watatuachia jangwa?Poverty is spreading
Tanzania is among the worlds least developed countries, ranking 128th out of a total of 169 countries in the 2010 human development index.[3] Real Gross Domestic Product (GDP) grew by 6.0% in 2009 compared to 7.4% in 2008, a slowdown attributed by the Government to the impact of the global financial crisis as well as the 200809 drought, which affected agricultural production, hydro power generation and industrial production.[4] Moreover, although agriculture employs a huge number of people in Tanzania, for at least six years no more than 7% of the entire national budget has been allocated for that purpose. According to the 2007 House Budget Survey, about 33.6% of mainland Tanzanians live below the basic needs poverty line, while 16.6% live below the food poverty line.[5] The number of poor people has increased in recent years by 1.3 million,[6] and the rate of unemployment is rising: about 11.7 million people who are able to work are unemployed.[7] Moreover, the gap between the poor and the rich is getting wider.[8]
Although Tanzania has legislation on investment issues, there are a number of problems relating to foreign direct investment. This is the case, for example, with the signing of dubious mining contracts (e.g., Buzwagi, Richmond and Dowans, and IPTL) between the Government and foreign investors.[9] Also, land grabbing by State bodies in favour of foreign investors is on the rise. The open door policy of the Tanzania Investment Centre (TIC), which is committed to attracting foreign investors, has been detrimental to local people. Small and medium-sized enterprises are unable to compete because they do not have enough capital and business expertise, while villagers are forcefully evicted to make room for foreign enterprises.
got it here
Stuck in poverty | Social Watch
hapo kwenye rangi nyekundu hapo!!!! lakini watu na CCM busy kudanganywa JANGWANI NA KATIKA MAJUKWAA! IT IS HIGH TIME THAT CCM MUST GOO AND GO now! 2015 IS TOO FAR AND SOMETIMES NINAWASHANGAA MNO WASOMI WALIOMO HUMU KUENDELEZEA UNAFIKI WAO WA KUJALI MASLAHI YAO NA YA NDUGU ZAO KWA KUTOKIRI KUWA CCM IMEPOTEA KATIKA MALENGO YAKE YA AWALI!
Anaongea upepo kabisa,yeye na magamba wenzio ndio wamesababisha tuwe omba omba.
Bora akae kimya kabisa.
Mkapa alikuwa wapi mpaka tukafika hapo. Mafao anayopata nini faida yake?
Weka facts. Bora mjanja kama Mkapa, wenye macho tuliona alichokifanya, sijui mwenzetu unatumia ratios gani. Endelea kulalamikaMkapa ni hopeless. Amesahau uhuni alioufanya ikulu. Kufanya biashara akiwa ikulu yeye na mke wake. Akae kimya asitukumbushe uhuni alioufanya yeye na Mramba.
Bado tunaambiwa kuwa safari za JK zina tija kwa taifa kwa kuwa zinaleta wawekezaji. na hapo majuzi wakati rais akialikwa na G8 anawadadavulia wazungu kuwa nchi hii ina ardhi ya kumwaga kwa ajili ya kilimo. kama tumewaita kuwekeza kwenye madini na wanatuachia mahandaki, kwenye kilimo si watatuachia jangwa?