Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
This is too much.Wakati huyu handsome akiingia magogoni alizunguka dunia nzima kujitambulisha.Leo ndo tumejua ziara zote zile zilikuwa ni za kuombaomba.Halafu wanasema eti ziara za huyu handsome zina tija kwa nchi kumbe kutuchafulia heshima.
This is too much.Wakati huyu handsome akiingia magogoni alizunguka dunia nzima kujitambulisha.Leo ndo tumejua ziara zote zile zilikuwa ni za kuombaomba.Halafu wanasema eti ziara za huyu handsome zina tija kwa nchi kumbe kutuchafulia heshima.
si chama chenu? Mkapa angefanyaje?Baada ya maovu yote aliyotufanyia hili taifa ikiwa ni pamoja na kutuwekea serikali ya sasa, bado ana ubavu wa kuongea! Only in Tanzania.
Jumlisha na Ethiopia, Matajiri wa Tz walienda Ikulu kwa baba riz, kuchangia Somalia njaa. Masikini hawakujua kumbe somalia ni matajiri na hawaombi km TZ, Wenye rasilimali kibao. Aaaaibu sana. Ndo maana wanatuletea masharti ya kicameroon.Mmmmmmmmh!!!!!!!!! yaani kwa maneno mengine hata Somalia wanatuzidi????????? Jamani daaaah!!!!!!! I heti politics totally
Baada ya maovu yote aliyotufanyia hili taifa ikiwa ni pamoja na kutuwekea serikali ya sasa, bado ana ubavu wa kuongea! Only in Tanzania.
This is too much. Wakati huyu handsome akiingia magogoni alizunguka dunia nzima kujitambulisha. Leo ndo tumejua ziara zote zile zilikuwa ni za kuombaomba. Halafu wanasema eti ziara za huyu handsome zina tija kwa nchi kumbe kutuchafulia heshima.
Ila kama kuna mfuatiliaji wa hotuba za JK, nakumbuka alipokuwa anazindua mradi wa barabara wa arusha na wakuu wa EAC, alisema kauli moja ambayo ndiyo kauli mbiu yake kuwa mtu anapoahidi ni vema kumfuatilia "..ni vizuri kukumbusha, yaani mzee unakumbuka ule mzingo uliotuahidi" by JK. Kwa maana hiyo jamaa ni mtalaamu wa kuomba na pia ni mfuatiliaji, alifaa sana kuwa mhasibu!
- ..kama siyo kusafiri "mngekufa na njaa" by JK
- ..kama si safari za rais nje, hali ingekuwa mbaya by Membe