Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
Akizungumza katika mkutano wa Mkapa HIV Foundation, kasema lazima taifa hili lijiheshimu na lirudishe heshima yake kwa kutumia sera yake ya kujitegemea.
Kasema kasoma makala fulani kupitia laptop yake kuwa Tanzania ni ya tatu duniani kwa kuomba ikitanguliwa na Afghanistan na Irak.
Maoni yangu:
Kiukweli hii ni aibu kwa serikali ya 'handsome' boy kuomba hivyo. Hivi Tanzania tangu vita ya nduli hadi leo ndo imetuathiri kiasi hiki? Akina irak tunawasamehe kwa madhila waliyopitia. Tanzania umepitia madhila gani? Hii ni aibu kwa JK.
Chanzo: ITV NEWS