Mkapa above the law?: Allegations

Haya ni yaliyotokea miaka ile, enzi zile hoja za wana Jambo/Jamii zilijaa uchambuzi wa hali ya juu.
 
14 years Ago.
 
Dah!

Enzi za Tafiti then Jadili kabla hajawa Selemani 😄

Mzee Tibwilitibwili

FMES kabla hajawa Le Mutuz

Na Bw. Fukiraduni kabla hajawa Fairplayer.

I really miss the halcyon days of JamiiForums.
 
Dah!

Enzi za Tafiti then Jadili kabla hajawa Selemani 😄

Mzee Tibwilitibwili

FMES kabla hajawa Le Mutuz

Na Bw. Fukiraduni kabla hajawa Fairplayer.

I really miss the halcyon days of JamiiForums.
Mazee Nyani Ngabu, yaani we acha tu ndugu yangu hahahahah
 
Haya ni yaliyotokea miaka ile, enzi zile hoja za wana Jambo/Jamii zilijaa uchambuzi wa hali ya juu.

Maisha yanakwenda kasi sana😄😄

Eti huyu ni Lemutuz saizi mpanga mikakati wa Makonda

Enzi hizo akili zilikua zimesambaa mwili mzima sio kama saizi zimebaki tumboni tu
 
Maisha yanakwenda kasi sana[emoji1][emoji1]

Eti huyu ni Lemutuz saizi mpanga mikakati wa Makonda

Enzi hizo akili zilikua zimesambaa mwili mzima sio kama saizi zimebaki tumboni tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


maisha yana kwenda kasi mnoo
 
14 years back, Hataree sana
 
Zamani Wana Jamiiforums walikuwa na mijadala yenye kujenga sana
 
Ningetamani mijadala ya namna hii iwepo hata 2020 hivi..sema kizazi kinabadilika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…