Mkanganyiko kuhusu kashfa ya Richmond

Mkanganyiko kuhusu kashfa ya Richmond

Waandishi wa habari aliokuwa anawasimulia haya mambo wooote walikuwa wamekula maharage ya wapi hata kushindwa kumwuliza maswali ya msingi kama hayo?
Waandishi wa wapi hao? Tanzania hii? Thubutuu. Hakuna hata mmoja aliyehai leo hii mwenye huo ubavu.
 
lowasa ni mwizi wala mapoteza muda wa kumsafisha ,haiwezekani na haitawezekana kutuaminisha kuwa lowasa sio mwizi,

je na SLAA aliyemtaja kwenye list of shame na akamwambia kama anabisha aende mahakamani mbona hakujitetea ,acha ujinga wenu hapa
 
Wanajukwaa,salam,
Baada ya kumsikia waziri Mkuu wa zamani,ndugu Edward Lowassa na baada ya kusoma michango mbalimbali humu ukumbini kutoka kwa wanaomuunga mkono na wanaompinga kuhusu ''safari ya matumaini'' nahisi mkanganyiko,
1.Inasemwa kashfa ya Richmondi ilitungwa tu na akina Sitta na Dr Mwakyembe ili ku muangusha Kwenye uwaziri mkuu.Hivyo hapakuwa na kitu halisia kama Richmond scandel,ilibuniwa tu,
2.Lowassa kasema hakufanya kitu chochote kuhusu Richmond bila kumshirikisha mh.Rais.Hata alifikia hatua ya kutaka kuvunja mkataba ila hakukubaliwa.Hapa,je,huo mkataba aliotaka kuuvunja ni upi kama Richmondi ilikuwa ni kitu ya kubuni? Ina maana angevunja mkataba dhahania?
3. Ndg Lowassa anasema alikaa kimya kwa muda mrefu wa takribani miaka saba ili kuilinda Serikali (rais) na chama! Kwa hiyo hapa rais mtarajiwa anakiri kuwa mradi wa Richmond ulikuwa ni ufisadi mkubwa hata wa kuiangusha serikali! Na hivyo,je,tujue lipi,kwamba ni rais pekee ndio alikuwa mhusika wa Richmondi au Rais na Waziri mkuu wake(Lowassa) walihusika pamoja ila yeye alikaa kimya ili bosi mwingine apone(Hapa kama ndio hivyo maana yake uzalendo wake ni kwa mtu na siyo nchi?)
4.Ripoti ya kamati ya Dr.Mwakyembe ilionesha vimemo kutoka kwa PM kwenda kwa mawaziri na mpaka wabunge wa ccm wakashawishika kumhusisha Lowassa na Richmond.Ina maana hawa walikuwa hawaelewi mtego wa Sitta na Dr Mwakyembe,walikuwa wamehongwa au kipi kilitokea?
(Akina ole Sendeka,Kilango Malecela et a' nasikia wameshaungama)
Yote kwa yote,Richmondi ilikuwa kitu REAL au FAKE?
Kama ilikuwa real,Lowassa hakushiriki kabisa au alishiriki pamoja na mh.Rais ila baadae akatolewa sadaka kwa niaba ya mkuu?
Na kama alishiriki pamoja na mkuu wake kwa nafasi yake kunamfanya asiwe fisadi?
Karibuni Wajuaji,mtufumbue wengine macho.

wala usituite wanajukwaa nakuanzakutusalimia kwa kujipendekeza tukuone mwema wakati unaleta takataka hapa,
moja
SLAA ailimtaja kwenye list of shame akamwambia aende mahakamani kama anabisha hakwenda.
mamvi huyu amewaujumu wanaccm wengi ,ikiwemo kuandaa mpango wa kumvua wenyekiti wa ccm kikwete ,kutoa hela kwa baadhi ya wabunge waccm kwenye uchaguzi mkuu2010 ili washindwe mfan olesendeka,unyonyoaji ngozi watu,
haya machafu yote then eti mnamsafisha ,hivi kama sio kupoteza muda mtaanza na lipi mtamaliza na lipi?

Wanajukwaa,salam,
Baada ya kumsikia waziri Mkuu wa zamani,ndugu Edward Lowassa na baada ya kusoma michango mbalimbali humu ukumbini kutoka kwa wanaomuunga mkono na wanaompinga kuhusu ''safari ya matumaini'' nahisi mkanganyiko,
1.Inasemwa kashfa ya Richmondi ilitungwa tu na akina Sitta na Dr Mwakyembe ili ku muangusha Kwenye uwaziri mkuu.Hivyo hapakuwa na kitu halisia kama Richmond scandel,ilibuniwa tu,
2.Lowassa kasema hakufanya kitu chochote kuhusu Richmond bila kumshirikisha mh.Rais.Hata alifikia hatua ya kutaka kuvunja mkataba ila hakukubaliwa.Hapa,je,huo mkataba aliotaka kuuvunja ni upi kama Richmondi ilikuwa ni kitu ya kubuni? Ina maana angevunja mkataba dhahania?
3. Ndg Lowassa anasema alikaa kimya kwa muda mrefu wa takribani miaka saba ili kuilinda Serikali (rais) na chama! Kwa hiyo hapa rais mtarajiwa anakiri kuwa mradi wa Richmond ulikuwa ni ufisadi mkubwa hata wa kuiangusha serikali! Na hivyo,je,tujue lipi,kwamba ni rais pekee ndio alikuwa mhusika wa Richmondi au Rais na Waziri mkuu wake(Lowassa) walihusika pamoja ila yeye alikaa kimya ili bosi mwingine apone(Hapa kama ndio hivyo maana yake uzalendo wake ni kwa mtu na siyo nchi?)
4.Ripoti ya kamati ya Dr.Mwakyembe ilionesha vimemo kutoka kwa PM kwenda kwa mawaziri na mpaka wabunge wa ccm wakashawishika kumhusisha Lowassa na Richmond.Ina maana hawa walikuwa hawaelewi mtego wa Sitta na Dr Mwakyembe,walikuwa wamehongwa au kipi kilitokea?
(Akina ole Sendeka,Kilango Malecela et a' nasikia wameshaungama)
Yote kwa yote,Richmondi ilikuwa kitu REAL au FAKE?
Kama ilikuwa real,Lowassa hakushiriki kabisa au alishiriki pamoja na mh.Rais ila baadae akatolewa sadaka kwa niaba ya mkuu?
Na kama alishiriki pamoja na mkuu wake kwa nafasi yake kunamfanya asiwe fisadi?
Karibuni Wajuaji,mtufumbue wengine macho.

Sis watanzania sio watoto tunajua alihusika akitaka urais aseme kweli tutampa kura
 
Si alisema CCM wakimtosa atasema ukweli kuhusu mmliki wa Richmond, mana Yake anamfahamu,akipewa Urais manayake hatasema,mi naomba atoswe ili tufahamu mwizi wetu.
 
kwa kweli lowassa ni mwanasiasa kweli kweli yaani kamalizia kwa kauli moja tu kuwa wenye ushahidi aweke hadharani sasa watu walikuwa wanasema ni fisadi toka zamani cha ajabu mpaka sasa watu wanazungukia Richmond tu na wameshindwa kuonyesha ufisadi wake maana Richmond alituhumiwa kwa kuingilia mchakato wa zabuni kitu ambacho sio ufisadi bali utendaji mbovu.

mimi nitaendelea kuamini anachopingwa lowassa ni Ukaskazini wake basi.
 
Ningekuwa EL ningefunguka hadharani kuhusu ufisadi ninaotuhumiwa. Au anaogopa kiapo cha baraza la mawaziri? Aseme tujue moja. Vinginevyo hilo jina alilobandikwa (fisadi papa) halitomtoka daima kwani ni a.k.a yake. Anamwogopa mpangaji wa ikulu ambaye mkataba wake umekwisha? Sema kweli ubaki huru hata kama urais utaukosa.
 
Tatizo humu ndani mpo kivyama zaidi! Mimi ktk kumbukumbu zangu, wakati EL anasema amenewa na nitatizo ni Uwaziri Mkuu! Kamati teule ilisema hii"kama huliziki basi tuliombe Bunge litengue kifungu fulani halafu mjadala uanze upya na ukiamza upya tutafika hadi juu!". Msifikirie EL hana akili, anafahamu nini anafanya!
 
huyo lowassa nae amelipwa 230

Ni saaawa ila yeye kama yeye atafanya nini kama wabunge wengine Mia 3 na kitu wamekaa kimya. Angekua kiongozi wa juu asingeruhusu hili. Hana mamllaka yoyote ya kuamua.
 
Wanajukwaa,salam,
Baada ya kumsikia waziri Mkuu wa zamani,ndugu Edward Lowassa na baada ya kusoma michango mbalimbali humu ukumbini kutoka kwa wanaomuunga mkono na wanaompinga kuhusu ''safari ya matumaini'' nahisi mkanganyiko,
1.Inasemwa kashfa ya Richmondi ilitungwa tu na akina Sitta na Dr Mwakyembe ili ku muangusha Kwenye uwaziri mkuu.Hivyo hapakuwa na kitu halisia kama Richmond scandel,ilibuniwa tu,
2.Lowassa kasema hakufanya kitu chochote kuhusu Richmond bila kumshirikisha mh.Rais.Hata alifikia hatua ya kutaka kuvunja mkataba ila hakukubaliwa.Hapa,je,huo mkataba aliotaka kuuvunja ni upi kama Richmondi ilikuwa ni kitu ya kubuni? Ina maana angevunja mkataba dhahania?
3. Ndg Lowassa anasema alikaa kimya kwa muda mrefu wa takribani miaka saba ili kuilinda Serikali (rais) na chama! Kwa hiyo hapa rais mtarajiwa anakiri kuwa mradi wa Richmond ulikuwa ni ufisadi mkubwa hata wa kuiangusha serikali! Na hivyo,je,tujue lipi,kwamba ni rais pekee ndio alikuwa mhusika wa Richmondi au Rais na Waziri mkuu wake(Lowassa) walihusika pamoja ila yeye alikaa kimya ili bosi mwingine apone(Hapa kama ndio hivyo maana yake uzalendo wake ni kwa mtu na siyo nchi?)
4.Ripoti ya kamati ya Dr.Mwakyembe ilionesha vimemo kutoka kwa PM kwenda kwa mawaziri na mpaka wabunge wa ccm wakashawishika kumhusisha Lowassa na Richmond.Ina maana hawa walikuwa hawaelewi mtego wa Sitta na Dr Mwakyembe,walikuwa wamehongwa au kipi kilitokea?
(Akina ole Sendeka,Kilango Malecela et a' nasikia wameshaungama)
Yote kwa yote,Richmondi ilikuwa kitu REAL au FAKE?
Kama ilikuwa real,Lowassa hakushiriki kabisa au alishiriki pamoja na mh.Rais ila baadae akatolewa sadaka kwa niaba ya mkuu?
Na kama alishiriki pamoja na mkuu wake kwa nafasi yake kunamfanya asiwe fisadi?
Karibuni Wajuaji,mtufumbue wengine macho.

Bwana Pepsin na wengine wote kwa nini basi mnakubali kupewa taarifa nusu nusu nanyi mnaridhika hadi kutuaminisha uvumi huu ambao hakika malengo yake ni kuchafuliana tu sifa? Taarifa zote za ufisadi huonyesha na kiasi ambacho kimelisababishia taifa hasara. Toka tuanze kuaminishwa upuuzi huu sio waleta uzi kama wewe wala wachangiaji aliewahi kutamka kiasi cha fedha alizolipwa richmond na Lowassa kunufaika wakati serikali ilipata hasara. Sasa kama richmond hakuwahi kuzaliaha umeme na hata kuiuzia unit moja tu ya umeme serikali ingemlipa kwa huduma ipi? Ukweli ulio wazi ni kwamba Lowassa aliwajibika kutokana na kilichoitwa na kamati ya bunge chini ya dr.Mwakyembe NIA OVU YA KUTEKELEZA UOVU tena baada ya kushauriwa kupima hali yeye mwenyewe. Ikumbukwe Lowassa alimshauri raisi mkataba wa richmond na serikali uvunjwe baada ya kubaini richmond kutokuwa na mtaji, utaalamu wala ofisi inayoeleweka na walikuwa hawajazalisha umeme wowote. Sasa Lowassa angefaidika vipi na kupachikwa jina la fisadi. Tena mkumbuke kwa wakati ule ufisadi haukuwa unajulikana kwa wengi na kwa kiasi ile kamati na spika wake walivyokuwa wamempania Lowassa hakika wangegundua ufisadi wowote wasingesita kumfikisha mahakamani haswa takukuru maana nao walihusishwa. Ccm wakaja na ngonjera za kuvuana magamba lengo likiwa kumfukuza Lowassa wakakwamishwa kwa kukosekana ushahidi. Jamani acheni hizo kwani chaguo la wengi ni chaguo la mungu pia.
 
Mgombea wenu alihusika na Richmond hata mumpambe vipi ana halufu ya Ufisadi
 
kwa kweli lowassa ni mwanasiasa kweli kweli yaani kamalizia kwa kauli moja tu kuwa wenye ushahidi aweke hadharani sasa watu walikuwa wanasema ni fisadi toka zamani cha ajabu mpaka sasa watu wanazungukia Richmond tu na wameshindwa kuonyesha ufisadi wake maana Richmond alituhumiwa kwa kuingilia mchakato wa zabuni kitu ambacho sio ufisadi bali utendaji mbovu.

mimi nitaendelea kuamini anachopingwa lowassa ni Ukaskazini wake basi.

Bora wewe mwenye uelewa huo. Kuwajibika kwake kulitokana na yeye kuingilia tu ule mchakato wa uteuzi wa richmond na sio ufisadi kusababishia taifa hasara kwani nayo serikali haikumlipa richmond hata senti moja. Ufisadi hapo upo wapi? Nakubaliana nawe kuonewa kwake kunatokana na ukanda. Wote tulimsikia yule mtoto wa Kikwete aitwae Ridhwan akiwa kada wa uvccm tena huko Bagamoyo akisema kabisa raisi wa nchi hii safari hii hatatoka kanda ya kaskazini. Aliyasikia wapi au alitumwa na nani?Huo uthubutu aliupata wapi? Hadi leo chama chao hakijawahi kukanusha kauli ile. Mbona hii ya Nape ya mabao ya mkono ya juzi tu viongozi wa chama hicho wanapigana vikumbo na kutoa msimamo wa chama? Sasa watanzania kwanini hamtaki kuchanganya na akili zenu mnashikilia tu za kuambiwa? Kama mmeshindwa kabisa basi mchagueni chief Slaa kwani nae ni taa yenye mwanga angavu wa kuongoza nchi au mnataka muendelee kupigwa?
 
Alitakiwa aseme kipi kilianza tume ya sita na Mwakyembe au richmond? Na aseme je ni chini ya uwaziri wake mkuu ndio tulikuwa giza ?

Na aseme je ndiye yeye aliyeshikiri mzabuni wa Richmond kupewa tender na kunyimwa kampuni mahiri kama GE?

Na aseme je ulikuwa mpango wake na swahiba wake Rasta aziza kuingiza Richmond nchini na Generoator za GE alizotumia Gire wakuijua ni nzima na kutumia wafanyakazi wa tanesco ku zi sabbotage ili zisiwake, kwa deal la kumkimbiza gire ilimwisho ama wazitaifishe ama wazinunue ili wao ndio wazalishe umeme kama ilivyotokea kwenda Dowans??

Aseme je deal zima lilinzia wapi?

Na aje aseme kwanini alikaa kimya muda wote huo. Na kama ni kulinda serikali za uhujumu je mangapi bado anayalinda wakati nchi inahujumiwa na kuporwa?

Kama kaweza kulinda uozo akiwa waziri atafanyaje akiwa raisi si atauza nchi kisha kulinda wahujumu??

Unayo maswa mengi ya kipolisi na ambayo hata wewe mwenyewe ukifikiri zaidi ya hapo majibu utakuwa nayo. Ndio ni kipindi cha uwaziri mkuu wake ndipo nchi ilikuwa giza. Vyombo vilivyotakiwa kuchunguza yote uliyouliza vilikuwepo na vipo hadi leo mf. polisi,takukuru na usalama wa nchi.Sasa yeye afanye hujuma na ajichunguze isingewezekana. Pia uelewe kabla ya tume ya Mwakyembe takukuru walikuwa wameshaagizwa kulifanyia uchunguzi suala la richmond na majibu yao hayakuonyesha hujuma yoyote wala hasara kwa taifa.Mengine iulize nafsi au ubongo wako kama richmond isingekuwepo Sitta na kamati ya Mwakyembe wangekwenda kuchunguza nini. Wangeenda kumchunguza Lowassa kwani walimwajiri wao?
 
Kama ndivyo,basi anatudanganyia nini anavyosema Aliundiwa kashfa? Anapaswa kuadhibiwa kwa ulaghai huu?

LINI NA MUDA UNAZIDI KUSONGA,AMA WANAONA UGUMU KWA KUWA:Mtego wa panya kuingia waliopo na wasikwepo!
 
Lowasa alishiriki kwa 100% issue ya Richmond, wengi wanafikiri hiyo kitu iliibuliwa bungeni ukweli hiyo kitu iliibuka kabla ya kufika bungeni baadhi ya wazee wa chama walimwendea rais na kumwambia huyu mtu alikataliwa na baba wa taifa ila kwa urafiki wako umempa cheo kikubwa umeona anavyofanya baada ya kusikia hivyo alitaka kumfukuza lakini wakamwambia umeshafanya makosa wajanja wakaamua kuipenyeza bungeni alipojiuzulu alifikiri rais angemkatalia kumbe hakujua alishataka kumfukuza kabla ya hapo.Mtu anayetakiwa kulaumiwa juu ya mikanganyiko yote hii ni mwakyembe kwa unafiki wake,mwakyembe akiwa mwalimu wa sheria aliingiza siasa kwenye sheria alitakiwa kusema ni hatua gani zichukuliwe baada ya kugundua lowassa amefanya huo mchezo badala yake akaficha baadhi ya mambo ndio chanzo cha lowasa kuanza kujisafisha
 
Haya tumekusikia vizuri.Vipi kuhusu utajiri wa Ridhiwan na Kikwete & their company unauzungumziaje? Vp Tibaijuka, Chenge na Ngeleja? unaonekana una taarifa za ndani ebu jimwage.
 
lowasa ni mwizi wala mapoteza muda wa kumsafisha ,haiwezekani na haitawezekana kutuaminisha kuwa lowasa sio mwizi,

je na SLAA aliyemtaja kwenye list of shame na akamwambia kama anabisha aende mahakamani mbona hakujitetea ,acha ujinga wenu hapa

jk VP mkuu kuwamuwazi alisema hakuna waziri wakujisifu bila mimi hakuna kilicho fanyika bila Mimi ok
 
haya tumekusikia vizuri.vipi kuhusu utajiri wa ridhiwan na kikwete & their company unauzungumziaje? Vp tibaijuka, chenge na ngeleja? Unaonekana una taarifa za ndani ebu jimwage.

vp kuhusu mzee wabills na fedha za ruzuku za chama
 
Back
Top Bottom