MKANGANYIKO HUU AJUAYE ANIWEKE SAWA

Hii sio ligi kuwa ni lazima tupate mshindi tunakumbushana tu kama ni sahihi au la!? Mimi ni mrutheri ndio maana nikawa na nguvu ya kuuliza kwa kuwa tunakatazwa kuwa nje ya utaratibu wa kanisa litakuwa halikutambui
Hayo unayajua wew na dhehebu lako.
 
Hakuna aliemsafi mkuu, swali nani anaweza mtenga mengi wakati ata yeye ana machafu yake yapaswayo kutengwa ?
 
Pesa haikumuuwa yesu yuda ndio alikufa kwaajili ya vipande 30 vyapesa baada ya kumsaliti yesu
sawa mkuu ila iweke kwene kumbukumbu kwamba bila pesa kifo cha Yesu kisingefanikiwa mana pesa ndo ilitumika kumlaghai Escariot awaoneshe Yesu. Kwa hiyo pesa ndo utamu kwa kila kitu bro, ukiwa na pesa kila kitu kwako ni bueyeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…