Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,106
Mawazo ya Mungu na Judgement zake sio sawa na WanadamuHuwezi kuwa mtoto wa baba harafu upo nje ya maelezo yake atakukataa maana una mzalilisha
Ngoja nikae hapa nisubiri majibu nilijiuliza hili pia
Mkirsto akisha kiri kosa na akakubali kutubu kwa hiyari husamehewa.Tafsiri ya mkristo ni kufuata nyendo na maagizo ya kristo unapokuwa nje ya hayo unaitwa mpagani usifunike kombe mwanaharamu apite simamia ukweli nao utakuwa huru nyosha maelezo kama ni sahihi au viongozi wamekengeuka hapo
Haimsaidii kitu kwa sasa hana thamani ya kuwa kwenye nyumba hiyo ni taka taka ndio maana wamechimba kajumba kadogo atakaa hapo milele tumtafute mungu kwanza mengine yawe ziadaUmeona nyumba yake lakini?
Kwa hiyo yupo nje ya utaratibu ndoa ya kikristo huvunjika kwa sababu moja tu nayo ni uzinzi yeye alikuwa mzinifuKuna taratibu za KKKT kuvunja ndoa, na Bible ina vigezo vya watu kuachana. Na kuna taratibu za kimila kuvunja ndoa. Mengi alishaachana na marehemu mke wake ndo maana mke wake alizikwa kwao.
Ni vyema Kujua ili ndoa ikamilike lazima ufuate taratibu za kimila (mahari ) viapo kibiblia (kanisani ) kusaini mikataba (serikali) .
Kwa hiyo yupo nje ya utaratibu ndoa ya kikristo huvunjika kwa sababu moja tu nayo ni uzinzi yeye alikuwa mzinifu
Mawazo ya Mungu na Judgement zake sio sawa na Wanadamu
Mpaka mauti yanamfika alikuwa na mke asiye harali kwakeMkirsto akisha kiri kosa na akakubali kutubu kwa hiyari husamehewa.
Mpaka mauti yanamfika alikuwa na mke asiye harali kwake
Biblia imeruhusu kuvunjika ndoa kwa sababu moja tu nayo ni uzinzi na utaruhusiwa kuoa mke mwingine kwa ndoa harali ya kikristo mungu amelifungua hilo kwetusio mzinzi hizi sheria za kukandamizana kama umeoa mwanamke akaleta mambo yà ajabu ashahuriki ana gawa nje kaondoka zake kwanini usioe tena
canon law umeisoma?? au mlipojimegua kutoka shina kuu mliisahau
Hakufunga ndoa na huyo mke alikuwa anaishi naye kinyumba tu kwa mkristo hiyo inakutenga na kanisa huwi mkristo tena iweje awe na maziko ya kikristo nataka kufahamu hapoKivipi,
Maaskofu watakuwa zaidi ya watatu wanne pamoja na wastaafu sasa wote hao hawawezi kukoseaHatuhukumu tunasema tunayofundishwa na hao wanao kusudia kuendesha ibada yake kesho wapo sahihi au wamekengeuka
Mkirsto akisha kiri kosa na akakubali kutubu kwa hiyari husamehewa.
Nikunong'oneze tu kkkt Dsm walikataa kufanya ibada hiyo niliona wanae walifika kuomba ila nilishangaa haijafanyika hapo Dsm ndio maana nauliza kwa moshi kama huku yalikuwa makazi yake wamegoma
Haikuwa ya kikristo mkuu ni ya mahakamani lakini kitu gani kilimzuia kufungia nymbn kama hangehofia pingamiziAlifunga ndoa Ulaya na picha zipo mitandaoni. Kazi kwako.
Haikuwa ya kikristo mkuu ni ya mahakamani lakini kitu gani kilimzuia kufungia nymbn kama hangehofia pingamizi
Maaskofu watakuwa zaidi ya watatu wanne pamoja na wastaafu sasa wote hao hawawezi kukosea