Huyu alikuwa mzinzi simama kwenye ukweli muogope mungu na makatazo yakeNdoa haivunjiki kanisani, kilichomlinda hapo ni kuwa mke wake alishafariki. Kwahyo hapo kachukuliwa kama muumini tu ambaye ni bachelor, maana wao hawatambui ile ndoa
Mke wake wa Kwanza Alishafariki akawa huru sana Dhambi siyo ngozi ya mwili mzeeHabari za jioni wana jf na wapenzi jf
Niende kwenye mada mazima ili nielimishwe ni kigezo gani viongozi wetu wa dini wanakusudia kutumia kushiriki ibada ya mazishi ya mengi kikiristo
Nijuavyo mimi dini yetu ina utaratibu wake ukiwa nje ya utaratibu maana yake umepoteza sifa ya kuwa mkristo
Mengi alitengana na mke wake wa ndoa ya kikiristo akawa na mke mdogo kwa taratibu za kikiristo hawaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja wanakutenga au kuishi na mke bila ndoa harali wanakutenga maana yake wewe si mkristo tena swali ni sahihi kufanya ibada ya mazishi ya mengi kikiristo? Ilihali alikuwa amejitenga kwa kumiliki wake wawili pia kuishi na mke bila ndoa ya kikristo
Naomba kuelimishwa hasa wachungaji na wainjilisti wa kkkt waliomo humu
Umeona nyumba yake lakini?Huyu alikuwa mzinzi simama kwenye ukweli muogope mungu na makatazo yake
sio mzinzi hizi sheria za kukandamizana kama umeoa mwanamke akaleta mambo yà ajabu ashahuriki ana gawa nje kaondoka zake kwanini usioe tenaHuyu alikuwa mzinzi simama kwenye ukweli muogope mungu na makatazo yake
Wakristo huwa hatumtengi mkristo yeyote kisa kwenda kinyume na neno la Mungu,
Atofautiani na mkristo alie ambiwa usiseme uwongo nae akasema uwongo.
So, hilo halifanyi kushindwa kumchukulia kama mkristo.
Viongozi wetu hawa muhofii mungu wamepofushwa na pesa upo sahihi mkuuUkiwa na pesa za kutosha hata ukitaka mashekhe wanakuja
Tafsiri ya mkristo ni kufuata nyendo na maagizo ya kristo unapokuwa nje ya hayo unaitwa mpagani usifunike kombe mwanaharamu apite simamia ukweli nao utakuwa huru nyosha maelezo kama ni sahihi au viongozi wamekengeuka hapo
canon law umeisoma?? au mlipojimegua kutoka shina kuu mliisahauWakristo huwa hatumtengi mkristo yeyote kisa kwenda kinyume na neno la Mungu,
Atofautiani na mkristo alie ambiwa usiseme uwongo nae akasema uwongo.
So, hilo halifanyi kushindwa kumchukulia kama mkristo.
Sivyo litakalo fungwa duniani na mbinguni litafungwa litalofunguliwa duniani na mbinguni litafunguliwa alikuwa mzinzi na watu wote wanalifahamu hilo viongozi wanatudharilisha ni wadhaifu wa kiroho na kimwiliNdoa haivunjiki kanisani, kilichomlinda hapo ni kuwa mke wake alishafariki. Kwahyo hapo kachukuliwa kama muumini tu ambaye ni bachelor, maana wao hawatambui ile ndoa
Mke wake wa Kwanza Alishafariki akawa huru sana Dhambi siyo ngozi ya mwili mzee