A
Akili za kinyumbu unafikiri ujenzi wa flyover ni kama unajenga kigeto chako?. Wakandarasi wako busy wanajenga foundation za nguzo ambazo ni muhimu kuliko kitu chochote kwenye ujenzi wa flyover!! Kweli JF imeingiliwa na mbulula!!Nafikiri idadi kubwa ya miradi ilioanza itakwama na hata hii mipya sijui, maana hata hiyo fly over ya Mandela road mpaka leo hakuna hata nguzo iliokamilika.