Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,524
- 42,676
mkuu umesahau Mhe. Rais alisema kuanzia siku ile yeye ndo atakua consultant? ina maana kasahau kujilipa?Mkuu mbona nimesikia Mkandarasi kalipwa pesa zote na hadai chochote labda akitoa certificate nyingine. Nimesikia kwamba Consultant yaani msimamizi wa Mkandarasi ndiye katoa notisi kwa kuwa hajalipwa. Nimemuona Katibu Mkuu akisema hiyo ni kawaida katika mambo ya ujenzi na haiwezi kuzuia ujenzi.
Jambo moja muhimu ni vyema kufahamu kati ya Consultant na Contractor kwenye construction project ili tusiwe tunachanganya mambo.