Mkandala lione na hili basi,, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkandala lione na hili basi,,

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Jitihada, Mar 31, 2012.

 1. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baba mkandala najua una majukumu mazito yanayokufanya hata usipate muda wa kutulia na kukikagua chuo(UDSM), Nimeamua nitoe huu waraka wangu kwako ili uweze kuliona na hili. Kero yangu ni suala la wireless/net kwa ujumla hapa UDSM. Maana tangia semister hii ianze tatizo la kupata wireless/net hapa chuo limekuwa la taabu sana, hata ukiwa na cable yako binafsi ports nazo hazina kitu hivyo kufanya maisha ya digital kuwa magumu sana hapa chuoni. Tupia jicho na huku Mh. Mkandala. Nawasilisha kero!
   
Loading...