SAFETY FIRSTni ajali tu ya kawaida..shukran mkono wake upo salama japo anaweza kuwa na maumivu ya kubanwa..
mi bwana nahofia zile mashine za mabucha ya samaki..dooh!
akiiwasha hivi ni kama msumeno fulan unazunguka kwa kasi hivi..anapitisha samaki pale kati
Mimi naona heading yangu ipo poa tu.. Heading ikiwa ndefu yatosha inakuwa haina sababu ya kusoma maelezo ya ndani ya thread.. mtu akiwaza machine ni uume atakuwa punguwani kwani uume si machine na wala EFD receipt haina uwezo wa kukamua miwa. Only mtu wa matani matani na masikhara atawaza hayo... but serious people ataelewa nini kinazungumziwa. Hata hivyo humu tunapashana tu habari na matukio ya ndani na nje ya nchi yetu.. sio lazima iwe very professional...Rekebisha heading sema ''Mkamua juice ya miwa anaswa kiganja na Mashine yake ya kukamulia miwa'' maana kusema tuu anaswa na na mashine yake yaweza kuwa tungo tata...Siku hizi kuna mwanaume mashine; aweza kunaswa kwa kutokuwa na EFD receipt; aweza kunaswa na mashine ya wizi etc..etc...
Ile maxhine unaweza kuifungua ile wheel kwa ajili ya kuadjust mleta mada katia chumvi maana lile crusher la la juu ni adjustable sio weldedWanakata kwa.msumeno haina rivasi?
Au ningeandika Kiwanda cha Miwa chaleta Madhara....Rekebisha heading sema ''Mkamua juice ya miwa anaswa kiganja na Mashine yake ya kukamulia miwa'' maana kusema tuu anaswa na na mashine yake yaweza kuwa tungo tata...Siku hizi kuna mwanaume mashine; aweza kunaswa kwa kutokuwa na EFD receipt; aweza kunaswa na mashine ya wizi etc..etc...
Mkuu hicho kiwanda cha jamaa aliyebuni nilimsifu sana maana ni box la square machine pembeni, meza mbele muuzaji katikati na mkamua miwa upande wa kulia pia ni Mobile popote anaenda anaweza kuvuta au kusukuma ina wheels zake nne and the kimepigwa rangi white safi kinapendeza but kumbe kina hatari yake hiyo damu imeshachafua hali kesho sijui watauza hivyo hivyo... Kuna machine za wahindi hauweki mkono kuna pipe unaingiza muwa tu unavutwa wenyewe...juice inamwagika mbele safi kabisaMashine zinatakiwa ziwe na safety measures. Mfano akinasa anafyatua kitufe mkono unatoka faster. Siyo hadi msumeno ukanunulowe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetia chumvi? Jf watoto wengi sana habu tizama pichani kuna sinia and then ndani ya sinia waziona screws humo? Au nikununulie miwani? Watu wazima wameumiza vichwa kuokoa mkono wa dogo and then wewe uliyebanwa mavi kwako unasema nimeweka chumvi... ok domo mali yako ongea pumba hadi uchoke... machine za kukamuwa miwa karibu zote ni welded na zipo strong sana space inayoachwa muwa upite huwa ni ndogo sana sasa wakitumia njia nyingine ni kuendelea kumuumiza dogo... tatizo letu huwa mnaangalia mali kuliko utu dini sijui zinawasaidia nini? Nadhani huwa mnaenda kusali ili muonekane mmependeza but rohoni bado ni roho kutuIle maxhine unaweza kuifungua ile wheel kwa ajili ya kuadjust mleta mada katia chumvi maana lile crusher la la juu ni adjustable sio welded
Sent using Jamii Forums mobile app
Dude !hizo mamvo ya ibada yanaingiaje hapo?kitu hakiko wazi tunakuchokonoa makusudu ufunguke zaidi sio kumwaga povu !ile inatakiwa iwe adjustable sasa kama wame weld itakua modification zao tu hizoNimetia chumvi? Jf watoto wengi sana habu tizama pichani kuna sinia and then ndani ya sinia waziona screws humo? Au nikununulie miwani? Watu wazima wameumiza vichwa kuokoa mkono wa dogo and then wewe uliyebanwa mavi kwako unasema nimeweka chumvi... ok domo mali yako ongea pumba hadi uchoke... machine za kukamuwa miwa karibu zote ni welded na zipo strong sana space inayoachwa muwa upite huwa ni ndogo sana sasa wakitumia njia nyingine ni kuendelea kumuumiza dogo... tatizo letu huwa mnaangalia mali kuliko utu dini sijui zinawasaidia nini? Nadhani huwa mnaenda kusali ili muonekane mmependeza but rohoni bado ni roho kutu