Ajali kazini. Pole zake, bilashaka akipona atarekebisha kwakuweka vizuizi ili asinase tenaKatika maeneo ya parking za zamani za billicanas bills mkamua miwa kwa machine special amepatwa na janga kiganja chake cha mkono kuvutwa na kunasa kama pichani hapo inavyoonyesha.. tarehe 12th August 2017..
Tuwe makini na vijana tunaowaajiri sio kuwatoa shamba na kuwaleta town tu na kuwapa kazi wasizozielewa... pole sana kijana hadi naondoka eneo la Tukio wadau walikuwa wanasaidia kuikata machine kwa msumeno... View attachment 564017
Nampa majibu anayoyataka...Kuna watu wao hujiona wapo perfect kila kitu wanafahamu mach know... sasa hukuwepo eneo la Tukio hiyo machine hujawahi iona na the situation iliyopo ni kuokoa mtu vichwa vimejikusanya vimepata solution yeye pua zinamuuma ati kuna adjustable hapo mleta mada kaongeza chumvi... sasa hapo huyo genye zimemshika apewe jibu gani? Na kama hiyo machine ndio ilivyo hilo jopo hapo lifanye nini chukua situation ungekuwa wewe ndio mwikozi! Ndio maana nimeona ushetani umemjaa na jibu nililompa linamfaaDude !hizo mamvo ya ibada yanaingiaje hapo?kitu hakiko wazi tunakuchokonoa makusudu ufunguke zaidi sio kumwaga povu !ile inatakiwa iwe adjustable sasa kama wame weld itakua modification zao tu hizo
Sent using Jamii Forums mobile app