menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 670
Wakuu nilikuwa na biashara yangu ya juice ya miwa ambapo pia nilikuwa nachoma chipsi.Sasa nimeamua kubadili biashara hivyo ninauza Machine nzuri ya kukamulia juice ya miwa iliyo katika Hali nzuri kabisa.Pia kabati kubwa la chipsi,pamoja na Jiko kubwa la kuchomea kuku. Bei ni maelewano kwa atakaye taka tuwasiliane 0654 788779.