Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
Asante Mkuu,Inachekesha vya kutosha! Ucheshi mwingi wa joke hii unatoka kwenye matamshi ya maneno ya kiingereza na ulinganifu wake kwenye lugha ya kiswahili.eg. Jesus is a messiah = Yesu ni mmasai. Pia ufahamu mdogo wa lugha alokuwa nao mkalimani pia ulichangia sana kuleta ucheshi.Asante mleta thread, umenifurahisha vya kutosha.
Asante Mkuu,
Mwambie na Senator alewe hili.
Kwani mpaka Xellent ameikubali hii lazima iwemo kenye top ten.
Mtu akishindwa kufurahishwa na hii lazima angaliwe vizuri ufahamu wake?:eyebrows:
Mchungaji: And He is coming with the Holly Spirit x3
Mkalimani: Na anakuja na Lori la SPRITE x3
hii kali nimecheka hadi mkuu wa kazi kanishtukia nipo JF
HAPO HYGEIA NIMEKUELEWA MKUU...Usimhukumu sana Senetor dear Wilbert1974. Unaweza ukawaambia watu unapenda sana kula samaki kwa sababu samaki ni watamu mno. Wawili wa watu hao waweza kupata kichefuchefu na kutapika kukusikia kuwa unakula samaki!
Wanadamu tunatofautiana sana kihisia na ishi kwa kujua hilo siku zote.