Jamaa baada ya kupewa kazi ya ukalimani wa lugha ya kingereza mambo yalikuwa kama yafuatavyo:-
MZUNGU:My name is LIVINGSTONE.
MKALIMANI:Jina langu ni JIWE LINALOISHI.
MZUNGU:I was born in NEW YORK.
MKALIMANI:Nilizaliwa katika KIINI KIPYA CHA YAI.
MZUNGU:When i was 25 years old i went to KINGSTONE.
MKALIMANI:Nilipotimia umri wa miaka 25 nilikwenda kaika JIWE LA MFALME.
MZUNGU:Then i got a transfer to JOHANESBURG for more research.
MKALIMANI:Baadae nikapata uhamisho wa kwenda kwenye MFUKO WA YOHANA kwa utafiti zaidi.
MZUNGU:Thank you all for listening.
MKALIMANI:Ahsanteni sana kwa kunisikiliza.
WASIKILIZAJI:Hili Zungu mwisho kweli.