notradamme
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 2,009
- 453
sorry sir..Wakati mwingine tukubali ukweli kuwa Lowassa anakubalika sana !
sorry sir..
huyu mtu unaesema anakubalika naomba uniambie ANAKUBALIKA WAPI NA WANAOMKUBALI NI AKINA NANI???
nikupe angalizo tuu, kama mnajidanganya kuwa ccm haiwezi kufanya maamuzi magumu, basi jiweke tayari kushuhudia huyu kiumbe wenu akipigwa chini na bado atakosa ubavu wa hata kulalamika au wazo la kuhama chama. kinachofanyika hadi sasa ni kujenga mazingira ya kumfanya azidi kufanya makosa ya wazi na dhahiri ila wakija kumchinja iwe ni rahisi tu kwa kumkabidhi kisu yeye mwenyewe ili ajichinje
Mambo ya kiroho hayana mashiko kwenye maswala kama haya.
Hajachukuliwa hatua zozote Kama ilivyo kwa majizi mengine ya ccm.rais bora atatoka upinzani.Aliiba mali gani ya uma na hatua gani zilichukuliwa baada ya kudhitishwa kuwa ni mwizi??
Hakuna
Yaani lowasa akiwa rais wa tz naenda tarime nkalime viazi,mnacheza na taifa letu nyie
Mambo ya kiroho hayana mashiko kwenye maswala kama haya.
Samahani wadau, niko nje ya mada!
Hivi ni kweli Mwigulu Nchemba ana mradi wa kuhakikisha Mabango yote barabarani nchi nzima yana andikwa yeye? Liwe bango la Twiga Cement, Coca Cola, nk hasa vituo vya dala dala!
Hii nchi kweli imefikia kubaya kiasi hiki? Mtu mmoja tu anatuchafulia vituo vya kusubiria magari!!
Make kila mkoa : Chagua Mwigulu Nchemba; Sokoine wa Pili, nk.
Afu mwandiko unashabiana kila mahala! Ina maana kuna mtu tiyari kapewa hii Zabuni? Ni mkoa baada ya Mkoa?
Mkakati wa Team Lowassa unasomba mpaka na huyo MWIGULU NCHEMBA,Achana na hayo mabango watu wanajua wanachokifanya hata WAZIRI MKUU AJAYE ANAJULIKANA NDANI YA TEAM LOWASSA.
Sifa za Mafisadi huwa wanaonekana unstoppable mpaka siku ya uteuzi, maana wanatumia pesa na binadamu wa hulka ya kula pesa na kuona aibu kumwambia kwa macho na mdomo kuwa hatutakupa kura, subiri uone matokeo EL atadondoka. Simple understanding kama unawapa watu fedha lazima kwanza wapokee harafu wakusifie, hapo ni kwa manufaa yao sio yako
Vipi ule mpango wa watu elfu kumi kwenda monduli kumshawishi umefikia wapi?