Mkakati wa kumrudisha aliyekuwa Mkurugenzi wa MSD

Huyo Major si ndio tunaambiwa kwenye report ya cag kuwa kaenda kwa farao kununua dawa za bil 10. Hapo hawezi kukosa bil 5. Takukuru huyo meja achunguzwe, msd ni shirika la umma sio la kijeshi, alienda kwa mafarao kwa mchakato gani wa manunuzi.
Alisafiri kwenda kununua au?
 
Hivi nyie mnaosema sheria inashida;

Tuambie sheria inashida gani? Ummy alisema sheria haina shida

Mimi naamini sheria haina shida ,
Mlolongo wa ununuzi wa dawa za umma ni mbovu. Sheria ndio inayosimamia huo mlolongo, kwa hiyo sheria ni mbovu.
 
Aliua mwinyi, nyerere alivianzisha fukua historia vizuri, mwinyi hakuchukua taadhari ya kulinda viwanda vya ndani aliporuhusu free market ruksa, na misamaha mingi ya Kodi bidhaa za nje
Mkuu hao wa Nyerere si ndio waliua mashirika, viwanda na makampuni ya umma, au ni wengine?
 
Huyu Mbunge nae inawezekana alikuwa na hoja lkn akajichanganya kwa kuwa over-zealous kwa Taaluma yake ya U-Pharmacist.Kazi ya msingi ya MSD siyo PRODUCTION/MANUFACTURING ya dawa kiasi cha kufanya ijaze kada ya wafamasia tu bali ni pure SUPPLY CHAIN MANAGEMEMENT kama Sheria iliyounda MSD ya Mwaka 1993 ambayo iliainisha majukumu yake ya msingi ni PROCUREMENT(Kununua),STORAGE(Kutunza) na DISTRIBUTION(kusambaza).hivyo MSD ni Taasisi inayoendeshwa kwa kutumia wataalamu wa kada mbalimbali kama Wafamasia,Wataalamu wa MaabaraMarketers,Watunza Bohari,Wahasibu,Drivers n.k kwa hiyo ndio maana idadi kubwa ya watumishi wa MSD ni Drivers na Watunza Bohari(Wamechanganyika Maboharia na Pharmtech) kwani ndio eneo kubwa la STORAGE na DISTRIBUTION ya dawa kutoka MSD Makao Makuu,kwenda ofisi za Kanda za MSD na hatimaye kumalizia usambazaji kwa end users kwenye Hospital na Vituo vya Afya.Huyu Mbunge anafanya Upotoshaji kuwa Kanda za MSD hazina wataalamu wa Dawa,wakati ukweli ni kuwa Kila Kanda ya MSD ina Registered Pharmacist kadri ya Mahitaji ya Scheme of Service,kama ilivyokuwa kwenye kada zingine hivyo siyo sahihi kusema eti MSD ijaze wafamasia utafikiri hicho ni kiwanda cha kutengeneza Dawa na kama ni Takwimu za Aina na Idadi ya Dawa(Quantification) zina-originate kwenye Hospital na Vituo vya Afya na kuletwa MSD,ambaye kazi yake ni KUNUNUA,KUTUNZA na KUSAMBAZA.Naungana na Hoja ya Mtoa Taarifa(Waziri wa Ulinzi) kwa Mbunge kuwa CEO wa MSD siyo lazima awe Pharmacist anaweza kuwa mtu yoyote ili Mradi ajue Corporate Management na awe na Team Safi ya Menejimenti ya Kumsaidia.
Shida ya Meja Gen.Mhidize Kachemka MSD sababu ya kuwa Arrogant,kuwa na poor Management,na kutaka kufanya kazi ki ONE MAN SHOW na ku-ignore ushauri wa professionals wengine,na vile kushindwa kujenga team ya uhakika ya Menejimenti kwa kuamini Na kuleta Wanajeshi Wenzie kama Major Msigwa ambao wako very shallow na hawana msaada wowote
Mr MSD hainunui na kusambaza dawa pekee, inazalisha pia baadhi ya dawa na vifaa tiba lakin pia quantification data hata kama zinatokea hospitali MSD ina jukumu la kufanya makadilio ya mahitaji ya dawa ili kujua inunue kias gan na kuzalisha kias gan sasa kama inakosa waataalam wa kutosha wa kufanya quantification na mwshowe dawa zina expire apo alaumiwe nan mkuu na kingine kwenye mitaala ya kada ya famasia wanafundishwa pia supply chain management ya pharmaceuticals products na ndio mana hapa Tanzania angalia big vendors wahindi mfano au private companies wengne ambao wana import dawa kuanzia kwenye procurement to supply unakuta ni mfamasia ndo anahusika pale, sio hapo tu mpka kwenye marketing wa dawa zao ni pharmacist sasa sijajua kwann serikali haikuliona hili kwann hawa importers wengne wako successiful zaid kwenye biashara ya dawa kuliko serikali yenyewe ilhali MSD ndo primary vendor wa dawa hospitalin
 
Back
Top Bottom