Mkakati wa kuitoa CCM madarakani

Mkakati wa kuitoa CCM madarakani

Nashukuru kwa kunitukana lakini ngoja nikuambie kitu kimoja, sijui unaponiambia nijitambue unamaanisha nini ila tu kwa taarifa yako mimi najitambua sana na hakuna anaenitawala ki fikra.

Akili yangu ni kubwa sana ila nakuona wewe unaongeaongea ushabiki na hukielewi unachokiongea. Au kujitambua kwako ni kuwa chadema au kwako kujitambua ni kuichukia tu CCM kama fikra zako ndivyo zilivyo brother unahitaji msaada.

Yaani Chadema imeshindwa kujiendesha yenyewe tu kila uchao wanachama wake tena walio na vyeo wanahama wewe unakuja kusema hicho nacho ni chama.

More than 20 years kipo kwenye game ya siasa ila hakina hata ofisi hupati hata kuuloza hivi Ruzuku mnayoipata na michango ya wabunge wenu wanayokatwa inaenda wapi. Huoni kweli hata aibu kweli ukifika uchaguzi mnaanza kutembeza mabakuri ya kuchangishana muingie ktk game.

Jipangeni miaka mia 200 kwanza ndio muanze Kuota kuiondoa CCM
Hatuongelei chadema hapa wewe ila nnaongea ccm mmetufikisha wapi mpaka sasa unaelewa wewe .... Hafu sijakutukana wewe ndo mshabiki sana ... Unashindwa kuyaficha mahaba yako kwa ccm hatuipond ila unafikir future yako kizaz chako hali itakuaje ... Unadhan tutakomboka kutoka kwenye dimbwi la umaskin tulilonalo kama tutaendelea na hizi sinema za ccm na chadema ... Ndugu .... Kama mababu zetu walivyosababisha hali ya ukolon kwetu na sisi tunawalaum ndivyo amabavyo kizaz chetu kitatushangaa na kutuona mapunguan kwa sisi babu zao kuendekeza siasa za ccm na chadema inaumA ila usipunguze hayo mahab Yako kwa cvm labda yanakusaidia siwez jua ndugu ila sisi huku mchamba wima soweto tunajua machungu tunayopata ... Uwe na siku njema ...
 
Tunaongelea maendeleo ya nchi huyu nyumbu anataka tuendeleze ujinga wa siasa za kipumbavu na chafu .... Namshangaa sana hata mwalimu nyerere alisema ccm sio baba yake nashanga hawataki kukosolewa. .. Sijui why sijui yaan nashindwa kuelewa .... Mwenyekit wa uvccm anakwambia walikataa bajet hvyo wasitegemee maendeleo majimbon kwao tanzania tumefika huku inasikitisha sana inaumiza mkuu sina chama ila tunahitaji mabadiliko ya msingi kama kweli tumaipenda nchi yetu tanzania
 
Kazi kweli kweli na
IMG-20180715-WA0005.jpg
 
Okay mkuu ngoja nikuambie jambo moja, CCM usiilaumu hata kidogo ilitakiwa uipongeza.
CCM hii hii kupitia Mwalim J K Nyerere ndio alikufanya uijue demokrasia ya vyama vingi kaa ukijua kabisa kipindi inaamuliwa Tanzania iwe ya vyama vingi majority waligoma zaidi ya 70 per cent walitaka kuendelea na chama kimoja yaani CCM busara ya mwana CCM akakufanya uione demokrasia ya vyama vingi.

Sasa sijajua ni kwanini unasema CCM haijakufanyia kitu.
Leo hii Tanzania nzima unasafiri bila kikwazo chochote barabara ni burudani, sijui kama unakumbuka mwaka 2003 kwenda mwanza ilikua hadi upitie nairobi kwa basi lakini maana singida pale palikua hapapitiki lakini leo unateleza tu.

Kufika kigamboni kwa sasa sio lazima upande panton unaenda hata kwa gari. Sisi watoto wa masikini tumeaoma kwa mikopo ya serikali hiihii unayoisema haijafanya kitu bila hivyo nchi hii raia wengi wangesikia tu kuwa kuna chuo kikuu.

Ni mambo mengi sana na wewe unayajua mkuu nashangaa unathubutu vipi kuuliza CCM imefanya nini. Changamoto sipo Dunia nzima hata marekani mnaposema sijui maisha mazuri wanachangamoto za kila aina.

Tuendelee kuisupport CCM mazuri yanazidi kuja angalia tunaboresha usafiri wa anga kwa sasa ninaimani nawe unapanda pia

KIDUMU CHAMA TAWALA CHA MAPINDUZI.
 
Sawaaaaaaa
 
Habar za leo ndugu zangu wapendwa ktk Taifa,

Sisi sote (Watanzania) adui yetu (our common enemy) ni mmoja ambaye ni Chama cha mapinduzi ( ccm) siandiki thread hii kwa kuwa ninachuki binafsi na ccm na wala siandiki bandiko hili kwa kuwa labda nimekosa uteuzi (kwa maana ndyo fikra za wengi kwa muda huu)
Pia,mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha upinzani bali naandika jambo hili ili iwe ni kuandaa njia ya kuelekea kwenye nuru au matumaini ya kiuchumi,kisiasa,kielimu na hata kifikra pia
Kwa wale msiokifaham chama cha mapinduzi vzr naomba kuwafahamisha kuwa hiki ni chama chenye intelligencia kubwa sana hasa kwenye kutenda maovu au mabaya mfano chama kikishindwa ktk uchaguzi huwa wanamtangaza mgombea wao wanayemtaka wao na wakishindwa kufanya hivyo basi huwa nunua viongozi walioshinda kwenye uchaguzi husika kutoka upinzani

Zifuatazo ni mbinu ambazo sote tunaweza kuzitumia kukitoa chama cha mapinduzi madarakani;
1.Kuonyesha kuwa tumeasi kutoka vyama vya siasa ambavyo ni wapinzani wa ccm,hapa mgombea anatangaza kuwa ameamua kujivua uanachama kutoka chama fulani na kujiunga na ccm na anatengeneza mazingira ya kuaminiwa na mwenyekiti wa ccm Taifa kisha atapewa cheo baada ya hapo anaanza kukusanya taarifa nyeti na kuzipenyeza kwenye chama alichohama (na hii unapaswa kuwa undercover mission,wanapaswa kufaham watu wawili au mmoja kutoka kwenye chama alichohama)

2.Kipindi cha uchaguzi hasa kwa maeneo ya vijijini najua watu wengi hawajui kusoma na kuandika so,huwa wanawaomba wasimamizi kuwajazia au kuwawekea tick (√) kwa mgombea wanaye/anayemtaka so,kwa kuwa hawajui kusoma na wao ndyo mtaji wa ccm basi unaweka tick kwa mgombea wa upinzani ambaye udhani kuwa ndye atakayeshinda

3.Kuanza kuwaelimisha watu tangu mapema kuhusiana na madhara ya kutawalaiwa na ccm ikiwa ni pamoja na madhambi tunayofanyiwa na ccm ili kpnd cha uchaguzi watu wawe aware na issues za uchaguzi

4.Kujipendekeza kwa viongozi wa ccm kuanzia ngazi za chini mpaka juu ili waweze kutuamini na hatimaye waweze kutupa nafasi nyeti ikiwa ni pamoja na kusimamia uchaguzi,then hukohuko tunawachinjia baharini

5.Siku ya uchaguzi kuna karatasi za kura huwa zinaletwa na kuwekwa mahali then maafisa wa uchaguzi hutoka mmoja mmoja kutoka kwenye chumba cha kupigia kura kwajili ya kwenda kujaza katarasi hizo na kuziweka kwenye kofia then wanaenda kuzitumbukiza kwenye masanduku ya kura...ukiitwa kwaajili ya kujaza karatasi hizo basi fanya kweli ili CCM wajue kuwa hutukwenda shule bure,mbinu nyingine naomba na ninyi muongezeee!
Ndugu unasema wewe hauna chama na unashawishi kukiondoa ccm madarakani then uweke jiwe au?unajichanganya kuwa wazi sema upo upande gani chadema,Tlp au CUF ipi ya lipumba au maalim.

Ili ccm itoke madarakani lazima kuwe na chama pinzani chenye Mbinu,mawazo au sera mbadala kilichojijenga ndani(Internal affairs) Kitaasisi(mashina ya Vijana au wakinamama) Na fungu yaani pesa.Je chama hicho kipo?
Tuanzie hapo Mjadala
 
Okay mkuu ngoja nikuambie jambo moja, CCM usiilaumu hata kidogo ilitakiwa uipongeza.
CCM hii hii kupitia Mwalim J K Nyerere ndio alikufanya uijue demokrasia ya vyama vingi kaa ukijua kabisa kipindi inaamuliwa Tanzania iwe ya vyama vingi majority waligoma zaidi ya 70 per cent walitaka kuendelea na chama kimoja yaani CCM busara ya mwana CCM akakufanya uione demokrasia ya vyama vingi.

Sasa sijajua ni kwanini unasema CCM haijakufanyia kitu.
Leo hii Tanzania nzima unasafiri bila kikwazo chochote barabara ni burudani, sijui kama unakumbuka mwaka 2003 kwenda mwanza ilikua hadi upitie nairobi kwa basi lakini maana singida pale palikua hapapitiki lakini leo unateleza tu.

Kufika kigamboni kwa sasa sio lazima upande panton unaenda hata kwa gari. Sisi watoto wa masikini tumeaoma kwa mikopo ya serikali hiihii unayoisema haijafanya kitu bila hivyo nchi hii raia wengi wangesikia tu kuwa kuna chuo kikuu.

Ni mambo mengi sana na wewe unayajua mkuu nashangaa unathubutu vipi kuuliza CCM imefanya nini. Changamoto sipo Dunia nzima hata marekani mnaposema sijui maisha mazuri wanachangamoto za kila aina.

Tuendelee kuisupport CCM mazuri yanazidi kuja angalia tunaboresha usafiri wa anga kwa sasa ninaimani nawe unapanda pia

KIDUMU CHAMA TAWALA CHA MAPINDUZI.
Hizi ni akili matope kabisa! Hayo maendeleo unayosema hapo juu yamefanywa na Serikali kupitia kodi za wananchi wote walio na vyama na wasio na vyama. Siichukii CCM, lkn ukweli lazima usemwe, hayo mambo hapo hayakufanywa kwa fedha za CCM bali kwa fedha za wananchi.

Suala la demokrasia ya vyma vingi chimbuko lake sio CCM bali kuna factors nyingi sana ikiwemo mashinikizo kutoka mataifa makubwa na mashirika wafadhili kama vile IMF, WB n.k. CCM haikupenda vyama vingi na haipendi na wala haitapenda kwasababu vyama vingi vinatishia ustawi wa matumbo ya baadhi ya wana CCM ambao kimsingi wameundo mfumo wa kujinufaisha wao na vizazi vyao ndani ya Chama na Serikali

Kwakweli mimi binafsi huu utaratibu wa vyama siupendi kabisa maana unaondosha kabisa rational thinking ya watu. Watu wanaongea utumbo hadi unajiuliza wamelewa au? CHADEMA wanapinga kila kitu hata mambo mazuri lakini CCM nao wanapandikiza ubaguzi kwa wananchi na chuki kubwa mioyoni mwa watu. Kauli za RC Mnyeti na MWENYEKITI WA UVCCM na baadhi ya viongozi wengine wa CCM hakika si za kufumbia macho maana zitaangamiza taifa hili. Cha ajabu CCM wanawachekea tu. I wishi kusingekuwa na vyama bali ingekuwepo tu serikali bila vyama. Vyama vinagawa watu kwasababu ya kukosekana kwa hekima za viongozi wa vyama hivyo.

Ikiwa tutaendelea na masuala ya uchama kwenye kila kitu, amini nawaambia tutalipasua taifa hili vipande vipande vipande na sisi wenyewe na watoto wetu watapa taabu sana na mateso makubwa. Ifike wakati tuwe na kauli mbiu Taifa kwanza, vyama baadaye.
 
kwanza tupige kula tujue maadui sisiem wangapi humu gf?
 
Nakuona mwenye akili isiyokuwa na matope, hebu niambie wewe ukiwa na akili zako timamu unahisi Chadema ikiingia madarakani haitatumia kodi zetu kufanya unachotaka ifanye? Au point yako hasa ni ipi... Unahisi serikali ya CCM isingezitumia vizuri hizo kodi zetu hayo niliyoyaanisha hapo yangekuwepo?

Kama Chama chenu kimeshindwa kutumia vizuri tu Ruzuku leo hii kitakuja kujisumbua kutumia vizuri kodi zetu? Brother tumia kichwa kufikiri
 
Tunaongelea maendeleo ya nchi huyu nyumbu anataka tuendeleze ujinga wa siasa za kipumbavu na chafu .... Namshangaa sana hata mwalimu nyerere alisema ccm sio baba yake nashanga hawataki kukosolewa. .. Sijui why sijui yaan nashindwa kuelewa .... Mwenyekit wa uvccm anakwambia walikataa bajet hvyo wasitegemee maendeleo majimbon kwao tanzania tumefika huku inasikitisha sana inaumiza mkuu sina chama ila tunahitaji mabadiliko ya msingi kama kweli tumaipenda nchi yetu tanzania

Usipate presha mkuu, ujinga wao ndio kiama chao wenyewe, afterall nothing lasts for eve brother, ubabe, uhuni, ukatili nk wanaoendesha sasa hivi utawarudi within the foreseeable future na hiyo ndio sheria ya maumbile (nature) na historia, anayebisha kwanza sio msomi mzuri na pili akawagoogle kina Mobutu Sesseseko, Sadam Hussein, Muamar Gadafi, Bokassa na wengineo; relax bro bu stay vigillant. God bless mother Tanzaa, We shall overcome
 
we shall over come
 
Habar za leo ndugu zangu wapendwa ktk Taifa,

Sisi sote (Watanzania) adui yetu (our common enemy) ni mmoja ambaye ni Chama cha mapinduzi ( ccm) siandiki thread hii kwa kuwa ninachuki binafsi na ccm na wala siandiki bandiko hili kwa kuwa labda nimekosa uteuzi (kwa maana ndyo fikra za wengi kwa muda huu)
Pia,mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha upinzani bali naandika jambo hili ili iwe ni kuandaa njia ya kuelekea kwenye nuru au matumaini ya kiuchumi,kisiasa,kielimu na hata kifikra pia
Kwa wale msiokifaham chama cha mapinduzi vzr naomba kuwafahamisha kuwa hiki ni chama chenye intelligencia kubwa sana hasa kwenye kutenda maovu au mabaya mfano chama kikishindwa ktk uchaguzi huwa wanamtangaza mgombea wao wanayemtaka wao na wakishindwa kufanya hivyo basi huwa nunua viongozi walioshinda kwenye uchaguzi husika kutoka upinzani

Zifuatazo ni mbinu ambazo sote tunaweza kuzitumia kukitoa chama cha mapinduzi madarakani;
1.Kuonyesha kuwa tumeasi kutoka vyama vya siasa ambavyo ni wapinzani wa ccm,hapa mgombea anatangaza kuwa ameamua kujivua uanachama kutoka chama fulani na kujiunga na ccm na anatengeneza mazingira ya kuaminiwa na mwenyekiti wa ccm Taifa kisha atapewa cheo baada ya hapo anaanza kukusanya taarifa nyeti na kuzipenyeza kwenye chama alichohama (na hii unapaswa kuwa undercover mission,wanapaswa kufaham watu wawili au mmoja kutoka kwenye chama alichohama)

2.Kipindi cha uchaguzi hasa kwa maeneo ya vijijini najua watu wengi hawajui kusoma na kuandika so,huwa wanawaomba wasimamizi kuwajazia au kuwawekea tick (√) kwa mgombea wanaye/anayemtaka so,kwa kuwa hawajui kusoma na wao ndyo mtaji wa ccm basi unaweka tick kwa mgombea wa upinzani ambaye udhani kuwa ndye atakayeshinda

3.Kuanza kuwaelimisha watu tangu mapema kuhusiana na madhara ya kutawalaiwa na ccm ikiwa ni pamoja na madhambi tunayofanyiwa na ccm ili kpnd cha uchaguzi watu wawe aware na issues za uchaguzi

4.Kujipendekeza kwa viongozi wa ccm kuanzia ngazi za chini mpaka juu ili waweze kutuamini na hatimaye waweze kutupa nafasi nyeti ikiwa ni pamoja na kusimamia uchaguzi,then hukohuko tunawachinjia baharini

5.Siku ya uchaguzi kuna karatasi za kura huwa zinaletwa na kuwekwa mahali then maafisa wa uchaguzi hutoka mmoja mmoja kutoka kwenye chumba cha kupigia kura kwajili ya kwenda kujaza katarasi hizo na kuziweka kwenye kofia then wanaenda kuzitumbukiza kwenye masanduku ya kura...ukiitwa kwaajili ya kujaza karatasi hizo basi fanya kweli ili CCM wajue kuwa hutukwenda shule bure,mbinu nyingine naomba na ninyi muongezeee!

Umezingatia suala la njaa alias uchumia tumbo wa wagombea nafasi za uongozi?

Umezingatia suala la ubinafsi wa Watanzania? i.e. Aliyepata kapata, kama hujapata utajiju.
 
Nashukuru kwa kunitukana lakini ngoja nikuambie kitu kimoja, sijui unaponiambia nijitambue unamaanisha nini ila tu kwa taarifa yako mimi najitambua sana na hakuna anaenitawala ki fikra.

Akili yangu ni kubwa sana ila nakuona wewe unaongeaongea ushabiki na hukielewi unachokiongea. Au kujitambua kwako ni kuwa chadema au kwako kujitambua ni kuichukia tu CCM kama fikra zako ndivyo zilivyo brother unahitaji msaada.

Yaani Chadema imeshindwa kujiendesha yenyewe tu kila uchao wanachama wake tena walio na vyeo wanahama wewe unakuja kusema hicho nacho ni chama.

More than 20 years kipo kwenye game ya siasa ila hakina hata ofisi hupati hata kuuloza hivi Ruzuku mnayoipata na michango ya wabunge wenu wanayokatwa inaenda wapi. Huoni kweli hata aibu kweli ukifika uchaguzi mnaanza kutembeza mabakuri ya kuchangishana muingie ktk game.

Jipangeni miaka mia 200 kwanza ndio muanze Kuota kuiondoa CCM

Wewe si kipofu ila acha kujifanya kipofu. Hakuna mwanachama anayehama ila wale madiwani wachache ambao mmekiri wenyewe kuwanunua (rejea Mnyeti alivyosema kwa niaba yenu). Halafu wewe unahitaji ushauri nasaha tu maana mtu anayeishabikia CCM kama wewe anauwezo wa kufanya chochote ikiwemo kujiua (rejea askari wanaojimaliza kwa kujiua sasa hivi). Ndio maana nasema unahitaji ushauri nasaha
 
UTAFITI WA TWAWEZA UNAONYESHA KUWA WANAOISHABIKIA CCM NI WATU WAJINGA NA WAZEE TU.
 
UTAFITI WA TWAWEZA UNAONYESHA KUWA WANAOISHABIKIA CCM NI WAJINGA NA VIKONGWE TU, WEWE UKO KUNDI GANI?
 
Hapa solution ni kubaki na vyama viwili tuu...yaani mivyama yote waaache uroho wa hizo hela waungane...vinginevyo hii ngoma mtacheza mpaka basi
 
wewe ulieandika haya ni mpuuzi huoni maendeleo yaliofanywa na yanayoendea kufanywa na serekali ya ccm hasa yaawamu ya tano, elimu bure, ujenzi wa reli ya kisasa, ununuz wa ndege, vituo vya afya kila kona vinajengwa, miradi ya maji , kuhamia dodoma, barabar nyingi zinajengwa kwa kiwango cha lami. ww ni lofa
 
Back
Top Bottom