Mkakati ovu wa CCM wanaswa Singida, walimu watakaokataa kutumika kuiba kura kushushwa cheo , kuhamishwa au kutimuliwa

Moderators SI sahihi kumwaga nba za watu hadharani Bila ridhaa ya wahusika alichofanya mleta mada sio sahihi na SI sahihi kwa jamii forums pia KU tolerate hiki
wao hizo namba hawakuziweka hadharani hapo ? halafu shida yetu haikuwa namba zao , na nakuhakikishia wala hakuna hata wa kuwapigia , lengo letu ilikuwa kuanika uchafu wao hadharani
 
wao hizo namba hawakuziweka hadharani hapo ? halafu shida yetu haikuwa namba zao , na nakuhakikishia wala hakuna hata wa kuwapigia , lengo letu ilikuwa kuanika uchafu wao hadharani
Uchafu umeupa heading wewe hapo kwenye hiyo karatasi Hakuna mahali pameandikwa hayo uliyoyapa heading wewe.Hiyo.karatasi hakuna mahali Pana hayo maneno uliyoweka kwenye heading.All in all simu ya mtu Ni private Hakuna mwenye haki for whatever reason kuanika au kutoa namba ya mtu mwingine Bila ridhaa Yake.Ulichofanya hakiko sahihi.Moderators please haya ya kuanikiana namba Sio fair.
 
Hiyo taarifa imerushwa jana kupitia TBC taifa na huyo afisa elimu amehamishwa hapo iringa na kupelekwa kigoma, kutokana na hayo madai ya waalimu,Afisa tawala wa mkoa amesema wanalichunguza suala hiyo pindi atakapobainika kutenda kosa atachukuliwa hatua za kisheria....muwe mnafuatilia habari na si kuropoka ropoka kisa mnapewa sumni na hao watalawa
Sa hiyo takataka mbona haiendani hata na ulichokiandika mkuu?
 
Moderators kuonyesha wazi napinga hiki kitendo Cha kuanika simu za watu hadharani bila ridhaa yaob na log off na siji kuingia jamii forums Tena bye bye jamii forums
 
Moderators SI sahihi kumwaga nba za watu hadharani Bila ridhaa ya wahusika alichofanya mleta mada sio sahihi na SI sahihi kwa jamii forums pia KU tolerate hiki.
Jielekeze kwenye mada hizo zingine ni porojo tu. Kuna mtu wa kuficha namba za simu karne hii?? popote unapotembelea ofsi kubwa na ndogo, usajiri wa aina yoyote unaambiwa acha namba yako hadi Google unaficha nini sasa.
 
Uchafu umeupa heading wewe hapo kwenye hiyo karatasi Hakuna mahali pameandikwa hayo uliyoyapa heading wewe.Hiyo.karatasi hakuna mahali Pana hayo maneno uliyoweka kwenye heading.All in all simu ya mtu Ni private Hakuna mwenye haki for whatever reason kuanika au kutoa namba ya mtu mwingine Bila ridhaa Yake.Ulichofanya hakiko sahihi.Moderators please haya ya kuanikiana namba Sio fair.
ila ccm singida ndio yenye haki kuchukua namba za watu eee !
 
Mbona huo mwandiko ni wa mtu mmoja?? inawezekana kuna mtu ameorodhesha majina yao na kuandika namba zao bila ridhaa yao
 
unasemaje?
IMG_20190609_120240.jpg
 
Moderators kuonyesha wazi napinga hiki kitendo Cha kuanika simu za watu hadharani bila ridhaa yaob na log off na siji kuingia jamii forums Tena bye bye jamii forums
Ila udukuzi wa mazungumzo ya watu ni sawa ?!. Unafki utakuweka wapi ?! Fikiria nje ya box dada
 
Back
Top Bottom