Mkakati ovu wa CCM wanaswa Singida, walimu watakaokataa kutumika kuiba kura kushushwa cheo , kuhamishwa au kutimuliwa

Hongereni waalimu wenzangu ,Ccm inakubalika sana huo mkakati nauje huku kwetu tupo wengi tunaoipenda ccm na waaminifu wakikitumikia chama chetu chamapinduzi
 
karatasi imeandikwa na MTU mmoja ..sehemu ya mwisho ya sahihi haijajazwa ...mbona hakuna uhusiano na unachosema
 
Tunaambiwa Magufuli anafanya kazi kubwa sana sasa ukiangalia na haya unabaki mdomo wazi.....!!!!
Ccm kwa hali yoyote ile haitakaa ishinde uchaguzi wowote ktk nchi hii. Never.
 
Sasa hiyo list ndiyo inamaanisha kuwa hao wamelazimishwa ama kuonyesha vituo watakavyo fanya kazi.

Form hii inaweza tengenezwa na mtu yoyote. Hapo sioni chochote kinacholingana na anachozungumzia mleta mada. Nadhani hii ni tuu katika jitihada za wapinzani kuichafua ccm.
 
walimu wenyewe wanakiri hilo na ndio wanaotusaidia kukusanya taarifa zote hizi ,wewe endelea kulipwa elfu 7 kwa wiki .
 
Mwaka wa 5 sasa hawajapewa stahiki zao ila kwa uroho wanasalitiana kukandamiza haki ya jamii. Watakaofanya hivyo ni wahaini na wanastahili laana ya Mungu
 
Back
Top Bottom