Mkakati ovu wa CCM wanaswa Singida, walimu watakaokataa kutumika kuiba kura kushushwa cheo , kuhamishwa au kutimuliwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,600
217,997
Huu ni mkakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu

FB_IMG_1566298393110.jpg
 
Kwani wao awaoni kwa wenzao? Akipita JPM ujue wanageuka. Na Mimi sio CCM lakini nitampigia mtu wa CCM. Tumeona, aditudanganye mtu. Kuna upendeleo Sana kwenye kugawa sungura wetu. CCM wanapata zaidi..
 
Moderators SI sahihi kumwaga nba za watu hadharani Bila ridhaa ya wahusika alichofanya mleta mada sio sahihi na SI sahihi kwa jamii forums pia KU tolerate hiki.
 
Back
Top Bottom