Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Kuna jitihada zozote amezifanya za kuwahakikishia wananchi kuwa alionewa? Au anavyogawa pesa kama njugu ndo kuwaonyesha kuwa alionewa? Sijapandikizwa chuki. Ni kwamba hana sifa na ana skendo.
 
Kuchoka huko kwa Lowassa ni kupi sasa? Jk alikua anakimbia ajiweke fit ila Lowassa is fit enough hahitaji show off akiwa anakimbia sawa?

Lowasa amechoka kisura mpaka afya hawezi kukimbia kama JK anaweza kufia njiani
 
Labda kama baba yako ndo mgombea anaekubalika ila so far Lowassa ndo matumaini kwa watanzania. Sisi wajinga ila ujinga wetu sio kama wako na team yako mnaokaa kimya eti hamtaki kujulikana what the hell is that?

Lowasa ni fisadi namba tanzania
 
Labda kama baba yako ndo mgombea anaekubalika ila so far Lowassa ndo matumaini kwa watanzania. Sisi wajinga ila ujinga wetu sio kama wako na team yako mnaokaa kimya eti hamtaki kujulikana what the hell is that?

Wajinga ndo waliwao. Huyu ndugu hayuko popular sisiemu kama unavyodhani wewe na team yako. Mtapiga PR nyingi sana ila kiunzi cha kwanza tu ndani ya sisiemu hatoruka, ndo mtashangaa sasa!
 
Kuna jitihada zozote amezifanya za kuwahakikishia wananchi kuwa alionewa? Au anavyogawa pesa kama njugu ndo kuwaonyesha kuwa alionewa? Sijapandikizwa chuki. Ni kwamba hana sifa na ana skendo.

Mkuu kujitolea napo ni kugawa pesa bure? Sio kila scandal inasababishwa na aliepata scandal zingine zinatokeaga ili kusave watu wengine, muda ukifika wa Lowassa kujisafisha atajisafisha sasa hiv anawapa wapinzani wake cha kukiongea mumpe umaarufu zaidi
 
Nawatakieni kila la kheri kwenye kampeni zenu.
 
hata akijisafisha na magadi bado ataendelea kuwa mchafu
 
Nadhani mpaka sasa Lowassa ndio namba moja kati ya wagombea wote .

Hii nchi mbaya sio mtu mmoja bali ni mfumo wa kishetani uliojengwa na Kundi la wapagani waliokua wanakwenda kuzimu kule Bagamoyo wakati wa uhuru.
Lowasa,Kikwete ,Mwinyi na Mkapa walikua ni watu safi lakini waliongozwa na kanuni za Lusifa zilizopo na kujikuta wanamtumikia shetani na Mali kuliko Kumtumikia Mungu na watanzania aliowaumba.
Yeyote atakayeamua kumwacha shetani kwa maana ya CCM atakuwa ameongoka na kurudi kwa mola wake.
Kwa kulijua hilo ndio maana Kikwete kwa wema na roho yake ya huruma kwa watanzania ameamua kukiua Chama cha mapinduzi ili watanzania wawe huru mbali na dhulma.
KIKWETE ni chaguo la Mungu. Hata Nabii Buberwa amesema.
 
Lowasa hafai urais(tuwe waungwana na wakweli tu).
Na muarobaini wake ni huyu Mzee! Nasikia amekonga nyoyo za watu na amebomoa karibuni kambi zote!
 
Attachments

  • 1419720946212.jpg
    39.1 KB · Views: 213
Lowasa hafai urais(tuwe waungwana na wakweli tu).
Na muarobaini wake ni huyu Mzee! Nasikia amekonga nyoyo za watu na amebomoa karibuni kambi zote!

Duh! Kituko hiki. Unatoa death unaleta kifo.
 
ninyi ndio mbulala mnaotusumbua hapa tz. kwa mtindo huu tutakuwa na lundo la wezi wanaojisafisha halafu nyie mnapewa ela . ni afadhari ya kuishi na mbuzi lakini sio na watu kama nyie .
 
umekuwa nabii
 
majembe yanalima huko vijini kama Lowassa ni jembe mwacheni huko monduli aendelea kulima uraisi ataishia kusikiliza kwenye redio tuu.
Mmmh atakuja kuharibu chama yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…