scientist_tz JF-Expert Member Joined Dec 28, 2017 Posts 605 Reaction score 900 Dec 29, 2017 #861 Daaah aiseee
TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,505 Reaction score 28,437 Dec 29, 2017 #862 UCD said: Dada Erythrocyte vipi umeshatoka UKAWA??? Hahahahahaaa!!! Huaminiki dada!! Click to expand... anayumba sana...hatufai kwenye safari ya Tanzania tunayoitaka.
UCD said: Dada Erythrocyte vipi umeshatoka UKAWA??? Hahahahahaaa!!! Huaminiki dada!! Click to expand... anayumba sana...hatufai kwenye safari ya Tanzania tunayoitaka.
baruti 1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2017 Posts 620 Reaction score 703 Dec 29, 2017 #863 Erythrocyte said: Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu . Click to expand... natumai uko na msimamo huu mpaka leo
Erythrocyte said: Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu . Click to expand... natumai uko na msimamo huu mpaka leo
byembalilwa JF-Expert Member Joined Aug 7, 2012 Posts 2,066 Reaction score 951 Dec 29, 2017 #864 Erythrocyte said: Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu . Click to expand... mkuu bado upo ukawa?
Erythrocyte said: Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu . Click to expand... mkuu bado upo ukawa?
U UCD JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 10,578 Reaction score 7,578 Dec 29, 2017 #865 byembalilwa said: mkuu bado upo ukawa? Click to expand... Mkuu hawezi kukujibu anachungulia tu na kutimka!! Anaona aibu ile mbaya!! Erythrocyte unaitwa huku???
byembalilwa said: mkuu bado upo ukawa? Click to expand... Mkuu hawezi kukujibu anachungulia tu na kutimka!! Anaona aibu ile mbaya!! Erythrocyte unaitwa huku???
G Gagnija Platinum Member Joined Apr 28, 2006 Posts 13,658 Reaction score 14,346 Dec 29, 2017 #866 Emma. said: kukwagua gwaride hataweza .Lowasa akishinda uraisi ntatembea uchi dar-moro Click to expand... Kweli mabadiliko ya lowasa yaliwabadili wengi. Ukisoma post za huyu kipindi kile hutaamini kama ndiye huyuhuyu leo.
Emma. said: kukwagua gwaride hataweza .Lowasa akishinda uraisi ntatembea uchi dar-moro Click to expand... Kweli mabadiliko ya lowasa yaliwabadili wengi. Ukisoma post za huyu kipindi kile hutaamini kama ndiye huyuhuyu leo.
MTAZAMO Platinum Member Joined Feb 8, 2011 Posts 20,114 Reaction score 35,495 Jan 10, 2018 #867 Gagnija said: Kweli mabadiliko ya lowasa yaliwabadili wengi. Ukisoma post za huyu kipindi kile hutaamini kama ndiye huyuhuyu leo. Click to expand... Unachoandika hapa kitabaki milele. Daima simama na ukweli uache alama nzuri.
Gagnija said: Kweli mabadiliko ya lowasa yaliwabadili wengi. Ukisoma post za huyu kipindi kile hutaamini kama ndiye huyuhuyu leo. Click to expand... Unachoandika hapa kitabaki milele. Daima simama na ukweli uache alama nzuri.
Wick JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 8,312 Reaction score 12,198 Jan 10, 2018 #868 Emma. said: UKAWA hatuwezi kumpokea mtu mchafu kama Lowassa Click to expand... vp Emma upo na msimamo huo bado?..au mafuriko yalikuzoa.
Emma. said: UKAWA hatuwezi kumpokea mtu mchafu kama Lowassa Click to expand... vp Emma upo na msimamo huo bado?..au mafuriko yalikuzoa.
Mdakuzi JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 4,293 Reaction score 6,901 May 7, 2018 #869 Pohamba said: Ndugu yangu uliona mbali sana! Click to expand... Asante sana mkuu Pohamba. Ova