Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Heheheheh
 
Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Karma itakutafuna na hutowahi kufikia matamanio yako yoyote kisiasa
 
Mashabiki na wanachama wa chadema ni misukule, haina maamuzi wala sauti maana walikatwa ulimi.
 
Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Ningekuwa mimi ni wewe ningejipika ban ya maisha hapa JF, lakini kwa uweza wa wale wanyama watembea kwa makundi wakivuka kwenda Kenya na kurudi Tanzania wala huoni haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…