Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

kariba ya lowasa ni sawa na zitto.....yeye mwenyewe ndo plan A, plan B, plan C
 
There's no need for idle speculations. The only sure way for Lowasa to remain shining is to remain within 'magamba circles' only. And it'd be his only wise decision to split this chama into two if they don't give him mandate to run for presidency. Aanzishe CCM Asilia, au jina linalofanana na hapo. Watamfuata wengi.
 
Heshima ikurudie Mkuu, hawa wahamiaji wa vyama vingine miezi michache kabla ya uchaguzi ni wa kuogopwa kama Ebola.

Heshima yako mkuu kama tulikuwa na wazo moja ccm wanafikiri Ukawa tuna nafasi ya kupokea watu wachafu labda akitoka ccm akaungane na kile chama cha wasaliti wenzake Act alishakaribishwa mapema.
 
Kwani nini, ninani, na ana nini? Watanzania wa leo sio kama wewe na yeye. Kaa mbali na huyu mtu.
 
UKAWA nako wakimgomea ataenda wapi.?
 

Mkuu kwani hujui lipi katika hayo unayosema. Kwa kukukumbusha tu Ibrahim Msabaha alisema nimefanywa bangusilo (neno nalikumbuka mpka leo) ikiwa na maana ng'ombe wa kafara.

Ni hayo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…