Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,537
- 93,125
Angalia kwenye red nilizokuwekea utagunduwa kwamba maelezo yako ni ya kufikirika zaidi, anyway hongera lakini kwa kushare kuondowa stress zako mwenyewe na Members.Hodi hodi humu ndani!!!!
Hahahaaaaa! Sijawahi post humu! Aluuuuuuuuu!
:focus: Kuna dada mmoja, ile formular ya substitution imemkuta soon, sasa yupo bored kinomaaa! Anaona dunia imesimaa! She was outside the market for too long, she has forgotten the husttles!!!! LOL! Sasa mimi nataka kumuonesha there are FEW GOOD MEN LEFT!!! LOL!
Anatakiwa mtu ambaye maybe nae yuko bored na maisha anahitaji company, au hajabahatika kupata the one( its worth a trial), au nae kapewa cha mbavu soon! na ANGEPENDA kuenjoy new company ya huyu dada, for chatting na kubadilishana mawazo tu! Mkielewana mengine mi simoooo!(U never know till you know) LOL! Purpose kubwa ni WEWE HUNA MTU ANAEKUKIP BUSY, NAE YUPO BORED, SASA NYIE HAPO MNAKIPIANA BUSY.Ishu ni kuwa friends na kupunguza boredom!!!!!
SIFA ZA MDADA!!!
Good looking, si mnene wala si mwembamba.
Ana kaelimu ka degree,
Ana kakazi cha kubadili mboga
Mcha Mungu!!!(sio lara 1 zee la kuchop chop)
Interesting (Huboreki ukikaa nae)
Good mannered (Sio wa kishua, ila sio wa uswazi)
Anaheshimu kila mtu.
Age 24yrs, Weight 64Kg, Height ya kati
MKAKA ANAYETAKIWA
Good looking( LAZIMA UJIAMINI MWENYEWE)
Msomi
Kazi muhimu
Mcha Mungu (sio mzugaji)
Good Mannered
Anaejielewa (sio kuwaza game tu mda wote!!!)
Mwenye busara zake
Age 25 to 30, Tall.
IF YOUR INTERESTED PM ME, NA MSHAWISHI KUWA YOU ARE THE COMPANY!!! LOL! COZ TUKO NAE HAPA ATAKUWA ANASOMA NA AKIRIZIKA ATAKU PM NAMBA YAKE!!! LOL!
WALE MBA ( MARRIED BUT AVAILABLE!!!!!) HAMHITAJIKI!!!!!! LOLEST!!! Divorced, engaged, in relationship, HAMHITAJIKI PIA!!! LOL! Hatutaki kesi sie!!!!
Fake IDS hazitazingatiwa LOL!!! Manake mtu ID ya dily unaibana unafungua moja fasta!!!!
PM YAKO NI SIRI !!!!!(Unless U Dont Care)!!!!!
MTAONUNA MNISAMEHE BURE LEO JPILI NIPO IN CHARITY WORK OF SAVING THE WORLD!!!! LOL!!!