kwani umeolewa kwa ajili yake au kwa ajili shughuli za kiofisiWanadhani maumbo kama ya akina Zari yana-happen tu..hahahaha..wanawake wengi wanapenda kuridhika na ndipo wanapokosea. Mtu unajiachia..tako tako..kitambi kuleee...uso umejaa. Mume mpaka anaona shida kutoka na wewe kwenye shughuli za kiofisi.
Mjukuu wangu, sasa naona umekua mtu mzima. Kuna mambo ya muhimu kutambua.
Unajua kuna mabadiriko mengi ktk mwili wako, kwa muonekano na mengine sio kwa muonekano wa nje.
Kuna kitu nimewahi kusikia hapahapa kijiweni kwenu ingawa awali sikuelewa maana yake.
"TIMU VIBAMIA"
Baada ya kuelewa ilinifanya nirudi nyuma ki mawazo kutafakari nini sababu?
Nimewaza mengi sana nakujiuliza je, inamaana vijana wakiume sikuizi maungo yao ya uzazi, ndo tuseme yanaenda yana pungua?
Je vijana wa kike maungo yao ya uzazi ndo tuseme yameongezeka?
Mjukuu wangu, sihitaji unipe jibu lakini hebu tutafakari kidogo kwa pamoja.
Nadhani unafahamu kale ka Peugeot ka Babu yako mpaka leo kapo vizuriii!
Unajua siri yake?
Ni matunzo mjukuu wangu.
Aliwahi kuniambia ili Brock iendelee kua standard, inahitaji matunzo.
Vivo hivyo hata wewe nakushauri ujitunze, sio mara piston hii mara ile kwani ikitokea brock imepanuka huhitaji upate saizi yake. Na ikitokea umeolewa na kubahatika kupata ujauzito, kumbuka mara tu baada ya kujifungua utahitaji uangalizi ili ubaki na uhalisia wako.
"USIOGOPE MAJI YA MOTO NA KUFUNGA TUMBO LAKO"
Kwenye kipengele hiki wengi hufeli, na baadae wanakimbilia kulalama kana kwamba kweli kuna timu vibamia!
Na akijiona tumbo halijarudi kama awali anakimbilia kuagiza dawa kupitia mitandao yakijamii ili kupunguza tumbo!
Usiwe mbishi mjukuu wangu!
Huko kungine utakimbilia kujifungua kwa operation
ingawa sikushauri hivyo!
Je, kwa upande wa tumbo, mimba utaibebea wapi?
Acheni ujuwaj
[emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji106]kwani umeolewa kwa ajili yake au kwa ajili shughuli za kiofisi
Una umri gani? Maana hili somo hujalielewaIle kukanda maji ya moto inapunguza tumbo?
Sio jibu la swali languUna umri gani? Maana hili somo hujalielewa
That's not the point.kwani umeolewa kwa ajili yake au kwa ajili shughuli za kiofisi
Labda kama ni kujitoa ufahamu, nje na hapo lzma mtu aelewe tuu!Watakuelewa wale wa kundi lako tu,ambao Bibi,Shangazi na Wazee wamama walikuwa wakishamuona Bint yao anaenda kwenye mabadiliko ya kimwili, anaanza kupewa shule ya mabadiliko ya mwili wake kivitendo kuanzia hapo.
Lakini wale wadada wa Instagram, Tweeter, Facebook, na sijui Ubuyu, ambao wakifika Miaka 8 wanapelekwa Nairobi, London, Johanesburg, ambao kwao kukutana na Mama,Bibi, Shangazi kwa Mwaka mara moja au wasikutane kabisa, sijui Kama watakuelewa.
Na ndio maana siku hizi si j
ambo la ajabu kumuona mdada kataharuki mtaani baada Rangi ya klabu ya Simba kuchafua hali ya hewa kwenye Suruali yake Nyeupe aliyotinga siku hiyo akiwa katika Mishe mishe zake za kila siku.
Umewaletea somo zuri sana, lakini ni somo ambalo watakuelewa ambao walishaanza kueleweshwa toka kitambo Kama ulivyoeleweshwa na Bibi yako, lakini wale wenzangu na mimi itakuwa sawa tu na kuchota ndoo moja ya Maji kutoka mto Ruvu ukaenda imwaga pale Kivukoni ukadhani utayabadilisha ladha Maji ya Bahari.
Okay thank youNdio!
Pamoja nakufunga tumbo, ndio maana baadhi ya makabila kuna kipengele cha MKAJA WA MAMA.
Nikutokana na hilo zoezi lakufunga tumbo!
Usiniulize kwa kwa hawa ambao hawafungi iitweje!
ha ha ha!