Mkaa wa mti poli

Mkaa wa mti poli

Dominic mr

Member
Joined
Jan 19, 2018
Posts
9
Reaction score
1
Habari wana Jf . naomba msaada wenu wakunijuza taratibu/ngazi za jinsi yakupata kibali chakuchoma nakuuza mkaa wa mti poli ..
Ninasafisha shamba langu eka 30 .. Je ni swala linalowezekana??
 
Back
Top Bottom